Mbowe na Dr Slaa, ombeni radhi ama mjiuzuru; tuhuma hizi ni nzito

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
WanaJF,

Ni nani kati yetu ambae hajasoma waraka wa mabadiliko ulioandaliwa na Dr Kitila?

Kama wote tumesoma na tumeelewa yaliyomo, ni kwanini wahusika wa zile tuhuma wajikaushe na kufanya mambo yaonekane kawaida?!

Kwa tafsiri ya kawaida, mtu anapo tuhumiwa kwa tuhuma fulani, na mtu huyo akikaa kimya, tafsiri yake ni kwamba amekubaliana na tuhuma.

Hivyo basi, vinara hao wawili wa CHADEMA (Mbowe na Dr Slaa) ambao wanakabiliwa na tuhuma nzito, kwa sasa wana options mbili, moja wawaombe wanachama na Watanzania kwa ujumla radhi ama wajiuzuru nafasi zao ili hatua za uchunguzi zichukuliwe.

Aidha, CHADEMA kwa sasa ni chama kilichojipambanua kuwa ni adui wa ufisadi na unyonyaji wa namna yoyote.

Hivyo basi, ni wakati na fursa kuthibitishia Watanzania hilo. Vinginevyo, Watanzania kwenye hili hatuwezi kuwaelewa mpaka kieleweke.
 
Waraka wa kitila ulikua na ngonjera za taarabu za kumsifia mwanaume mwenzake zitto,halafu anayesifiwa anasema hajui kama kampeni zimeanza kabla hata uchaguzi wa vitongoji haujatangazwa
 
WanaJF,

Ni nani kati yetu ambae ajasoma waraka wa mabadiliko ulioandaliwa na Dr Kitila?

Kama wote tumesoma na tumeelewa yaliyomo, ni kwanini wahusika wa zile tuhuma wajikaushe na kufanya mambo yaonekane kawaida?!

Kwa tafsiri ya kawaida, mtu anapo tuhumiwa kwa tuhuma fulani, na mtu huyo akikaa kimya, tafsiri yake ni kwamba amekubaliana na tuhuma.

Hivyo basi, vinara hao wawili wa CHADEMA (Mbowe na Dr Slaa) ambao wanakabiliwa na tuhuma nzito, kwa sasa wana options mbili, moja wawaombe wanachama na Watanzania kwa ujumla radhi ama wajiuzuru nafasi zao ili hatua za uchunguzi zichukuliwe.

Aidha, CHADEMA kwa sasa ni chama kilichojipambanua kuwa ni adui wa ufisadi na unyonyaji wa namna yoyote.

Hivyo basi, ni wakati na fursa kuthibitishia Watanzania hilo. Vinginevyo, Watanzania kwenye hili hatuwezi kuwaelewa mpaka kieleweke.

Uchaguzi we CCM na kumpata Kiongozi mkuu wa Chama ulipo fanyika , Mwenyekiti alishindana na nani na akamzidi kura ngapi ?
 
Hamy endelea kutoa elimu jamii inakupata vema.
 
Uchaguzi we CCM na kumpata Kiongozi mkuu wa Chama ulipo fanyika , Mwenyekiti alishindana na nani na akamzidi kura ngapi ?

J.K ana kubalika ndani ya chama kwa utendaji wake ndio maana wanachama wote walibariki maamuzi ya JK kugombea tena kwa mara nyingine. Mbowe na Dr Slaa hawakubaliki ndani ya CHADEMA ndio maana kundi kubwa la wanachama wanataka apambane na Zitto kwenye uchaguzi.
 
WanaJF,

Ni nani kati yetu ambae ajasoma waraka wa mabadiliko ulioandaliwa na Dr Kitila?

Kama wote tumesoma na tumeelewa yaliyomo, ni kwanini wahusika wa zile tuhuma wajikaushe na kufanya mambo yaonekane kawaida?!

Kwa tafsiri ya kawaida, mtu anapo tuhumiwa kwa tuhuma fulani, na mtu huyo akikaa kimya, tafsiri yake ni kwamba amekubaliana na tuhuma.

Hivyo basi, vinara hao wawili wa CHADEMA (Mbowe na Dr Slaa) ambao wanakabiliwa na tuhuma nzito, kwa sasa wana options mbili, moja wawaombe wanachama na Watanzania kwa ujumla radhi ama wajiuzuru nafasi zao ili hatua za uchunguzi zichukuliwe.

Aidha, CHADEMA kwa sasa ni chama kilichojipambanua kuwa ni adui wa ufisadi na unyonyaji wa namna yoyote.

Hivyo basi, ni wakati na fursa kuthibitishia Watanzania hilo. Vinginevyo, Watanzania kwenye hili hatuwezi kuwaelewa mpaka kieleweke.

Dr. Slaa ni mwanasiasa pekee Tanzania ambaye hajawahi kuomba radhi hata siku moja.

Kila siku yeye hujiona yuko perfect...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom