comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Wana jamvi
salaam
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo nchini ameonesha dalili kwamba hali yake kiuchumi si njema na kampuni yake kumshinda hivyo kulazimika kupunguza wafanyakazi hadi kufikia 14,kubomolewa kwa jengo la club bilicanas anayoimiliki katika jengo NHC mtaa wa mkwepu huku akimimsimamisha kazi mhariri mkuu wa Tanzania Daima Neville Meena, Aidha Wasomi mbalimbali wamemshukia na kumtaka aache siasa na ukosoaji wa hotuba ya Mh Rais Magufuli kuhusu kagera badala yake ajikite katika sera za chama chake
Chanzo: Uhuru