Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

Kumbeee!!! Tulipigwa changa la macho. Haki ya mungu Lowassa hapati kura zetu.

Ndio maana hata haoneshi alama ya vidole viwili...hata havai kombati kwakuwa amekinunua chama ili kuupata urais itikadi ya chama ikafie mbali...

Utamnyima wewe na familia yako ----- wewe
 
Kama habari hii ingekuwa inauza UKAWA ingekuwa imeishakufa lakini cha ajabu ndio kwanza mnaipaisha na hili gazeti linazidi kujifia na sijui baada ya uchaguzi Kwisha litaandika nini
 
Back
Top Bottom