Mbowe, Mtei walamba 5bn/- Lengo ni kumpisha Lowassa apitishwe kugombea urais

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,531
DSC00847.jpg
 
Hawajaelewa bado.Mpaka tarehe 25 ipite ndio watagundua watu walivyo tayari kupigia kura kivuli badala ya CCM.
 
Wekeni ushahidi. Si wana akaunt na biashara imefanyika na habari imeandikwa. Wekeni ushahidi nao!!
 
Mabadiliko ya kweli ni magufuli. Tatizo letu watz ni mihemko tu. Sina shida na mabadiliko lakini ni mabadiliko yepi na nani anayeyaleta sio ili mradi mabadiliko. Tuhuma kama hizi si za kupuuzia hata kidogo eti kisa mabadiliko. Ivi tunawezaje kufunika tuhuma za kifisadi zilizofanywa na lowassa kwa kujivika kofia ya mabadiliko. Mimi ni mwana ukawa lakini napenda misingi bora ya uadilifu. Hatuwezi kupiga kura kwa ushabiki otherwise tutajutia
 
hizo ni porojo, hilo gazeti miaka yote linaweweseka likiona Sumaye, ni gazeti lishakuwa LA udaku, na wamepoteza mauzo kwa asilimia 36% ukilinganisha na wakati limezinduliwa
 
Raia Tanzania kw kweli mmepitwa na wakati.
Poleni yenu, kilichobako bado kuja kununuliwa kama gazeti lenu la Rai.
 
Mr. Ngaraumu unaposema porojo na huku hujafanya utafiti kujua ukweli unanipa mashaka. Ukisema lishakuwa gazeti la udaku hayo ni maoni yako lakini ujue kwenye udaku huwa kuna ukweli saa nyingine.
 
Bada ya kuona mgombea wao hauziki wanakuja na propaganda hiz mabdilikooooooooooooooooooo lowasaaaaaAaaaaaaaaaaaa lowasaaaaaaaaaaaaaaa mabadikooooooooo haturudi nyumaaaaaaaaaaaaaaaaaa jaman achen kuandika utumbooo tumeshaamua liwalo na liwe
 
Hapo kuna mtu anaitwa Ezekiel Kamwaga, Mbwambo, huyu jamaa alikua msemaji wa Simba Tukamtimua, alikua mfuasi wa Rage, Sasa hivi anamtumikia Ridhiwan na CCM, cha ajabu hata huyu mzee Ulimwengu nae amenunuliwa, kweli pesa mbaya, wamepoteza muelekeo kabisa, ukiangalia hata returns za magazeti yao, utawaonea huruma watu hawanunui tena magazeti yao,Labda kama Ccm wanawalipa hiyo hasara.
 
Magazeti ya watu walioheshimika sana, lakini tumbo limesema hapana. Wapo tayari kujidhalilisha ili wapate pesa ama kuahidiwa vyeo. Aibu! Bilioni tano umewahi kuziona? Je, ninyi mlizopewa na CCM ni ngapi? Sikutarajia magazeti haya kubadilika na kuwa ya ovyo hivi. Yaani afadhali na UHURU na Mzalendo!

Tanzania kuna sheria, kama hili gazeti limesema uongo, basi hao waliotajwa wanahaki ya kwanza kukanusha, pili kulifungulia mashtaka kwa kuwasingizia habari za uongo, na wakadai malipo ya kuharibiwa jina. Lakini ni lazima wakanushe.

Pia tujuwe ya kuwa pengine hilo gazeti lina ushahidi ya walilo andika na wanajiamini. Tutajua ukweli tukiona watuhumiwa kama watakanusha hiyo tuhuma, na kama tuhuma ina ukweli watanyamaza na kuendelea kuudanganya umaa.
 
Nimelidharau rasmi Gazeti Raia Tanzania, yaani wamefikia hatua ya kunukuu habari kutoka kwa chanzo cha pili!

Ulimwengu, Mbwambo et al angalieni msije mkaiua tena Kampuni yenu kama mlivyofanya kwa Gazeti la Rai miaka ile.

Vv
 
Back
Top Bottom