singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,531
Magazeti ya watu walioheshimika sana, lakini tumbo limesema hapana. Wapo tayari kujidhalilisha ili wapate pesa ama kuahidiwa vyeo. Aibu! Bilioni tano umewahi kuziona? Je, ninyi mlizopewa na CCM ni ngapi? Sikutarajia magazeti haya kubadilika na kuwa ya ovyo hivi. Yaani afadhali na UHURU na Mzalendo!
habari imepitwa na wakati,habari ya sasa hivi ni mabadilikooooooooooooo
Hawajaelewa bado.Mpaka tarehe 25 ipite ndio watagundua watu walivyo tayari kupigia kura kivuli badala ya CCM.