Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,007
- 5,446
- Thread starter
- #361
sisi ndo wenye nchi sasa na itabaki hivo milele, yule insane wenu ataishi ukimbizi maishawe leta jeuri tu ila dikteta lenu ndo hivoo linayeyaa bado nyie vidagala
sisi ndo wenye nchi sasa na itabaki hivo milele, yule insane wenu ataishi ukimbizi maishawe leta jeuri tu ila dikteta lenu ndo hivoo linayeyaa bado nyie vidagala
wenzako tunatanua nchini ye anabweka ugenn😂😂Povu kama povu
Nina dumu la komoni ili upoze machungu 😁😀
pamoja mkuuMkuu usisumbuke na mjinga yule. Eti ndiyo angekuwa raisi wetu!!! Ni mtu sadist achana naye asikusumbue akili. Acha tuombolee msiba wetu kwa staili yetu!!!! Asiyependa ameze jiwe!!!!
Kwani akishika ukuta anashika na matako yako?acha mwenzio asikieraha.Mimi nikiwa kikaragosi na takataka hilo linaloshikishwa ukuta huko ubeberuni utaliitaje?
Kabisa,na Tunaanza na Bashite.Waliompiga risasi Lissu wakae mguu sawa, tunaenda kulala nao mbele ni mwendo wa kuwafyekelea mbali,
Lugu la kichwa utauwa watu Mkuu. Eti utamaduni.muulize kupiga watu risasi Ni utamaduni wetu?.Mkanye wewe si ndio unasoma post zake huko mitandaoni, Kila mtu ana Uhuru wa kutoa maoni yake, Wakati watanzania tunamchangia ili aokoe uhai wake baada ya Marehemu na Bunge lake kumkatalia hamkujua kwamba sio utamaduni?
Ulimkumbusha marehemu kutubu DHAMBI za kuuwa watu? Kama hakutubu damu za watu zipo nyuma yake.zinadai haki Sasa msaidieni na huko pia maana lazima MUNGU azidai.huku mliweza kumtetea kamteteeni na kule Sasa.saa hizi anaubeba Msalaba mwenyewe ambao amuwezi kumsaidia hata kwa ncha ya kidole chenu cha mwishoYote anayofanya Tundu Lissu yana baraka za chama!
Na ndio maana mzima amemalizwa kabisa, Na ramani yake kupotea kabisa..Na hauamini macho yako.Lissu ni Mgonjwa jamani
Kinachowauma yule mliyepiga risasi anaishi mliyetaka awe rais wa milele kafa.huyo atamalizwa na wanaomtia kiburi
Sio nyie tena? Sitaki kuamini kama mmeshindwa,huyo atamalizwa na wanaomtia kiburi
Sasa Kama mlijua hivo mlikua mnamvunja vile kwa nini?Anachokifanya Lisu ni masharti ya mabeberu ili waendelee kumpa mkate wa kila siku huko ughaibuni!! Si ajabu kishakuwa mwanachama wa LGBT+ !! Mabeberu si watu!!!
Furaha yake ndio hii,acha afurahie adui yake kumeza ulimi chapchap,yani kelbu moja tu ahera kaionasasa kama alishindwa kumshughulikia akiwa hai atafanya nn sasa??? Atulize akili aaminike na watanzania
Ndio ushangae sasa,wanajitoa ufaham sana,likiwafika wao wanaanza mara utamaduni,mara uzalendo ,wanasahau waliyokuwa wanafanyaLugu la kichwa utauwa watu Mkuu. Eti utamaduni.muulize kupiga watu risasi Ni utamaduni wetu?.
wengine mim nadhan wabaknkuwa wanaharakat sio mbaya.ila kama laivosema mzee wetu mwalim.ulais sio wa majalibio.Sema huu msiba umefanya tumewafaham kwenye hilo kundi nani kiongozi na anaefaa japo kuaminiwa, yaani kama mtu anapambana mpaka na maiti jiulize akipewa majeshi na vifaru kama hataua mpaka kuku wa jirani, mi huwa nasema kila siku pamoja na kwamba sio mfuasi wa Upinzania ila MBOWE ana hekma za kiuongozi ( leadership Ethics) jamaa yuko smart sana na no Wonder wenye akili wanakomaa nae awe tu mwenyekiti, haongei kila saa mpaka muda ukifika lkn kuna mbuzi zingine jaman yaani unashangaa kafikaje alikofika
muda utaongeaSio nyie tena? Sitaki kuamini kama mmeshindwa,
mwezake anazikwa kishujaa yeye atajikuta hata ndugu zake hamnaFuraha yake ndio hii,acha afurahie adui yake kumeza ulimi chapchap,yani kelbu moja tu ahera kaiona
Quite the opposite. Wewe unakula vumbi tu. Hope upo chattle ukibugia vumbiwenzako tunatanua nchini ye anabweka ugenn😂😂
Kweli wewe shamba boy!Anajipiga spana mwenyewe! Sisi watanzania tutampiga spana nyingine 2025 chini ya Jemedari mama samia!
Ungepigwa wewe hata risasi moja tuu matakoni labda ungekuwa na akili ya kujua kwa nini anaongea aongeayo.Afadhali umenena, kuna siku nilikuta katweet mambo ya ajabu kuhusu Mh. Rais nikadhani ni account feki.
Hadhi yake na anayoandika hayaendani kabisa.
Alipaswa kuandika ideas na sio kumgeuza chigogwo role model wake.
Huwa simkubali lkn siku hizi anazidi kuwa mweupe sana. Mwambieni atulie aandike vitu ambavyo hata wajukuu wa taifa hili wakisoma waseme huyu ni mtu aliyewahi kuwepo nchini nap kuleta tija
Kama mwanaharakati sawa ila Kama presidential candidate aibu aisee
Kima inampotomosha mbona mnahangaika?Nimejiuliza sana maswali kuhusu hii behavior ya Lissu, ila jibu moja nililolipata ni kwamba Lissu anajua kabisa uhasama wake na JPM kwa kiasi kikubwa ndicho kilichompaisha yeye kisiasa. Hivyo haoni nini cha kuzungumza zaidi ya kuendelea kuponda hata Marehemu. Hii itamporomosha zaidi