Mbowe, mkanye Lissu

Mkuu usisumbuke na mjinga yule. Eti ndiyo angekuwa raisi wetu!!! Ni mtu sadist achana naye asikusumbue akili. Acha tuombolee msiba wetu kwa staili yetu!!!! Asiyependa ameze jiwe!!!!
pamoja mkuu
 
Yote anayofanya Tundu Lissu yana baraka za chama!
Ulimkumbusha marehemu kutubu DHAMBI za kuuwa watu? Kama hakutubu damu za watu zipo nyuma yake.zinadai haki Sasa msaidieni na huko pia maana lazima MUNGU azidai.huku mliweza kumtetea kamteteeni na kule Sasa.saa hizi anaubeba Msalaba mwenyewe ambao amuwezi kumsaidia hata kwa ncha ya kidole chenu cha mwisho
 
Sema huu msiba umefanya tumewafaham kwenye hilo kundi nani kiongozi na anaefaa japo kuaminiwa, yaani kama mtu anapambana mpaka na maiti jiulize akipewa majeshi na vifaru kama hataua mpaka kuku wa jirani, mi huwa nasema kila siku pamoja na kwamba sio mfuasi wa Upinzania ila MBOWE ana hekma za kiuongozi ( leadership Ethics) jamaa yuko smart sana na no Wonder wenye akili wanakomaa nae awe tu mwenyekiti, haongei kila saa mpaka muda ukifika lkn kuna mbuzi zingine jaman yaani unashangaa kafikaje alikofika
wengine mim nadhan wabaknkuwa wanaharakat sio mbaya.ila kama laivosema mzee wetu mwalim.ulais sio wa majalibio.
 
Afadhali umenena, kuna siku nilikuta katweet mambo ya ajabu kuhusu Mh. Rais nikadhani ni account feki.

Hadhi yake na anayoandika hayaendani kabisa.

Alipaswa kuandika ideas na sio kumgeuza chigogwo role model wake.

Huwa simkubali lkn siku hizi anazidi kuwa mweupe sana. Mwambieni atulie aandike vitu ambavyo hata wajukuu wa taifa hili wakisoma waseme huyu ni mtu aliyewahi kuwepo nchini nap kuleta tija

Kama mwanaharakati sawa ila Kama presidential candidate aibu aisee
Ungepigwa wewe hata risasi moja tuu matakoni labda ungekuwa na akili ya kujua kwa nini anaongea aongeayo.
Acheni ufala wa kuwa bendera fuata upepo
 
Nimejiuliza sana maswali kuhusu hii behavior ya Lissu, ila jibu moja nililolipata ni kwamba Lissu anajua kabisa uhasama wake na JPM kwa kiasi kikubwa ndicho kilichompaisha yeye kisiasa. Hivyo haoni nini cha kuzungumza zaidi ya kuendelea kuponda hata Marehemu. Hii itamporomosha zaidi
Kima inampotomosha mbona mnahangaika?
 
Back
Top Bottom