Kwa kweli hatuelewi kabisa! Jana tu mmetwambia hicho ni Chuma, leo mnatembeza barabarani na vichochoroni kutafuta huruma ya watanzania.Umeongea point ila mashabiki na uharakati maandazi hawatakuelewa
Kwa kweli hatuelewi kabisa! Jana tu mmetwambia hicho ni Chuma, leo mnatembeza barabarani na vichochoroni kutafuta huruma ya watanzania.Umeongea point ila mashabiki na uharakati maandazi hawatakuelewa
Jemedari kishakuwa mama samia tena! Siyo kile chuma mlichotwambia? Kwani imekuwaje kwa Chuma hicho! Jiwe! Nini kimetokea kwa hyo mtu mliyetuaminisha kama ni MUNGU vile?Anajipiga spana mwenyewe! Sisi watanzania tutampiga spana nyingine 2025 chini ya Jemedari mama samia!
Wewe nawe ulisherehekea kifo Cha JPM??...tuanzie hapo Kwanza...
Ujinga imekutawala kabisa; kwani Magufuli ni nani adi watu wasisherekee akifa? ni propaganda tu ndo inawasumbua ili mpate chochote kutoka kwa Samia.Wewe nawe ulisherehekea kifo Cha JPM??...tuanzie hapo Kwanza...
Wengi mnamlaumu lisu ni kwa sababu ya kukosa maarifa na ubinafsi , hata ungekuwa wewe usingeweza kumpenda mtu aliye dhamiria kukuuwa akakukosa ila kakuachia kilema cha maisha eti kisa tu unaeleza madhaifu yake ,Sema ana jua hawezi kuja kua Rais kashajikatia tamaaata reaction kwenye post zake sio nyingi san
Ukiwasikiliza watu wa kibiti walopoteza wapendwa wao ktk utawala wake huu.
ukiwasikiliza ndugu wa akina ben saa8, ndg wa akwilina, ndg wa azory, kangoye na wengine ndg wa walokuwa wakiokotwa coco beach ktk sandarusi, pia nduguze tundulisu aliyemiminiwa risasi 32 immediate baada ya raisi ktk kikao kudai kuwa watu wanaompinga ktk vita ya kulinda madini ni lzm kuuwawa sincerely watakuombea mabaya na kukulaumu kwa kuandika ugoro ulochanganywa na Mavi as if hujawai kufiwa au kuuguza.
Wape watu uhuru to celebrate.
Ivi alipigwa risasi ngapi?Vaa uhusika wake na upigwe risasi 16, uvuliwe ubunge, unyimwe stahiki zako zilizopo kikatiba!!!. Bado mwenye mamlaka hakuguswa na lolote kuhusu yeye afu unataka ahuzunike na nini kuhusu yeye?? Tunaolia ni sisi tusiojua ubaya wa marehemu tuendelee kumlilia ila sio tulazimishe vilio nyeti viwe vya kila mtu.
Mlitukaririsha nyimbo kwamba Iddi Amin akifa sisi hatuwezi kulia, tutamtupa Kagera awe chakula cha Mamba.Pamoja na kwamba tupo msibani kuomboleza kifo cha mwanaAfrika na Mwanamajumui Hayati John Pombe Magufuli, imenilazimu kuhoji huyu ndiye Mh Lisu Wakili msomi aliyetaka kuwa Rais wetu 2020?
Nimesoma Twitter zake na maandiko yake mbalimbali baada ya msiba wa JPM. Nikajiuliza hivi huyu ndiye alipaswa kuwa Rais? Kwa tamaduni, mila na desturi za kitanzania na Afrika kwa ujumla si sawa kushangilia kifo hata Kama mtu alikuwa humpendi kwa kiwango chochote. Haturuhusu kumhukumu Marehemu, Mungu ndiye mwenye uwezo huo.
Tusiandike kama hatujawahi kufiwa au Kama sisi hatutakufa. Kila mtu duniani atakufa na atakufa kwa stahili yake. Kipindi hiki ambacho ndugu jamaa na rafiki wanapopitia kipindi kigumu sisi sote tunapaswa kuwafariji kwa kuwa hakuna anayejua kesho yake.
Nimpongeze Mh Mbowe ambaye statement yake inaonesha namna alivyoiva na anavyothamini uhai. Mh Mbowe ameonyesha nguvu yake ya maarifa na uhodari wa kuchambua maneno kulingana na mkutadha. Kwa mazingira haya simuoni mtu wa kuvaa viatu vya Mh Mbowe Kama mh Lisu ambaye nilidhani ni matured naye anaweza kuandika vitu vya kitoto ambavyo walau vingeandikwa na BAVICHA.
Tunatambua Lisu alipigwa na kuumizwa, lakini tunamshukuru Mungu mwingi wa rehema alimponya na sasa yupo hai, lakini kitendo cha kupona kwake hakiondoi ubinadamu na kupandikiza umbumbumbu kwenye argument na reasoning.
Lakini pia hii ni indicator kwenu CHADEMA Kama munadhani Lissu will be a good candidate for 2025, basi aingie darasani kwa mzee Mbowe kujifunza hekima na kuchambua mambo kabla ya pablicity.
Pamoja na kwamba tupo msibani kuomboleza kifo cha mwanaAfrika na Mwanamajumui Hayati John Pombe Magufuli, imenilazimu kuhoji huyu ndiye Mh Lisu Wakili msomi aliyetaka kuwa Rais wetu 2020?
Nimesoma Twitter zake na maandiko yake mbalimbali baada ya msiba wa JPM. Nikajiuliza hivi huyu ndiye alipaswa kuwa Rais? Kwa tamaduni, mila na desturi za kitanzania na Afrika kwa ujumla si sawa kushangilia kifo hata Kama mtu alikuwa humpendi kwa kiwango chochote. Haturuhusu kumhukumu Marehemu, Mungu ndiye mwenye uwezo huo.
Tusiandike kama hatujawahi kufiwa au Kama sisi hatutakufa. Kila mtu duniani atakufa na atakufa kwa stahili yake. Kipindi hiki ambacho ndugu jamaa na rafiki wanapopitia kipindi kigumu sisi sote tunapaswa kuwafariji kwa kuwa hakuna anayejua kesho yake.
Nimpongeze Mh Mbowe ambaye statement yake inaonesha namna alivyoiva na anavyothamini uhai. Mh Mbowe ameonyesha nguvu yake ya maarifa na uhodari wa kuchambua maneno kulingana na mkutadha. Kwa mazingira haya simuoni mtu wa kuvaa viatu vya Mh Mbowe Kama mh Lisu ambaye nilidhani ni matured naye anaweza kuandika vitu vya kitoto ambavyo walau vingeandikwa na BAVICHA.
Tunatambua Lisu alipigwa na kuumizwa, lakini tunamshukuru Mungu mwingi wa rehema alimponya na sasa yupo hai, lakini kitendo cha kupona kwake hakiondoi ubinadamu na kupandikiza umbumbumbu kwenye argument na reasoning.
Lakini pia hii ni indicator kwenu CHADEMA Kama munadhani Lissu will be a good candidate for 2025, basi aingie darasani kwa mzee Mbowe kujifunza hekima na kuchambua mambo kabla ya pablicity.
Dah hahaha nimecheka kifala.Jamaa ameamua kupambana na marehemu kupunguza maumivu.
Msiba wa jirani ni wetu sote kama alikuwa jirani mwema vinginevyo ni wao hukohuko na yeyote anayejaribu kulazimisha watu wahudhurue kwa wingi matokeo yake ndio hayo yanaongeza misiba na machungu.Tulieni Lissu awanyooshe na yeye ni binadamu atoe machungu yake moyoni,huu msiba usiwafanye mna huruma sana
Meko kafa huku Lissu (aliyekuwa amepangiwa na kina farao afe) bado yu hai. Huyo ndiye Mungu!kama ni kweli Mungu kamlipia Tundu lissu sasa yeye anahangaika na nini???
No ukweli wazi asingeweza kabisa kumfanya lolote Hayati...
Ni kweli watanzania Wala mabeberu hata mmoja aliyemsaidia....
If so why he keep insult people especially marehemu??
Akae akijua Mungu Hana upendeleo kama alimuadhibu Meko basi atamuazibu na yeye Kama atafanya upuuzi arejee kisa Cha Musa alipopewa adhabu ya kifo baada ya kukiuka maagizo ya Mungu, hivyo mumshauri asipotoke.
Mimi sijui ...ila mashetani nafahamu husherehekea vifo...hayo ya sherehe tatu za binadamu sijui...Hujui kuwa mwanadamu ana sherehe kuu tatu,kuzaliwa kuoa/kuolewa na kufa
Risasi, risasi mpaka lini? unapigwa risasi tukiwa watoto hadi tunapata umri wa kupiga kura, wewe bado unasimulia risasi! Kila siku kulia-lia tu! Mbona Ulimboka hatusikii akilia-lia na mkasa wa kutaka kuuwawa? Mandela je?Alivyoshambuliwa kwa maelekezo zile risasi 38 huku jeshi la Polisi likikataza hata kumuombea dua ulikuwa uko wapi ?