Mbowe: Mbunge na Madiwani walioapa hawakutenda jinai, ila ni wakaidi

Mh.Mbowe ni kiongozi makini sana....nimependa anaposema Msingi wa Taasisi yoyote ile ni Nidhamu...bila nidhamu hakuna taasisi bali ni vurugu tupu.
 
Wazungu wa tundulisu watatoa pesa za kuendesha chama
Kuna ubaya gani "wazungu" wakitoa hela kwa CDM? Mbona hata serikali inazililia kwa povu jingi (Rejea Zitto alipokinukisha Bungeni na ruzuku ya covid 19).
 
Siasa za chadema sizielewi

Wananchi wamempeleka mbunge wao bungeni Mbowe na kamati yake inamzuia asiende bungeni

Hata ningekuwa Mimi ningewasikiliza wananchi walio nipigia kura sio kamati ya Mbowe
Huwezi kuzielewa maana wewe ndani ya ccm yenu akili hazihitajiki kutumika
 
Siasa za chadema sizielewi

Wananchi wamempeleka mbunge wao bungeni Mbowe na kamati yake inamzuia asiende bungeni

Hata ningekuwa Mimi ningewasikiliza wananchi walio nipigia kura sio kamati ya Mbowe
Huwezi kuzielewa kwa sababu zipo juu ya uwezo wa akili yako. Na hilo la tatizo la akili finyu siyo wewe tu, bali ni la kila mwanaCCM.
 
Mh.Mbowe ni kiongozi makini sana....nimependa anaposema Msingi wa Taasisi yoyote ile ni Nidhamu...bila nidhamu hakuna taasisi bali ni vurugu tupu.
"Nidhamu" hii ambayo kanuni zake zimetengenezwa na mtu yule yule aliyeandaa mpango wa kufuta ukomo wa muda wa kuwa mwenyekiti wa Chama?
 
Mh.Mbowe ni kiongozi makini sana....nimependa anaposema Msingi wa Taasisi yoyote ile ni Nidhamu...bila nidhamu hakuna taasisi bali ni vurugu tupu.
Angekuwa na busara asingebadilisha katiba ya chama ili aongoze milele
 
Back
Top Bottom