Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

Mimi sijaona threat yoyote kwenye hiyo memo hata kama ni kweli imeandikwa na KUB, kwenye siasa ni jambo la kawaida sana watu kuwa na malumbano kama haya.
Kwenye ushindani wowote wa siasa duniani hivi ni vitu vya kawaida ni lazima watanzania tuamke na tusijione kama peculiar case kwenye siasa. Huu unafiki wa amani na utulivu ndio unaotuondolea utulivu.
 
Teh teh teh hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kutuma sms kama hizi kwa adui yake, itakuwa hajipendi huyo mtu. So mwigulu asitake kujipatia umaarufu kupitia chadema kwa kujitumia msg mwenyewe, naona sasa baada ya kuitoa roho ya mwenzao huko jimboni kwake sasa wanaweweseka
 
Naona sasa mnahangaika tu, baada ya kujitumuia msg sasa mnajiandikia na vimemo pia, jitahidi chemba unaweza kujipatia umaarufu kupitia chadema, jitahidi
 
Mi mshituko wangu ni kwanini bunge letu limeacha majukumu yake ya kutunga sheria na kuhoji utendaji wa serikali? sasa naona limekuwa investigator na mahakama achilia mbali kugeuka kuwa la vijembe na mipasho isiyoisha. Tunafahamu keki ni tamu lakini kama kufa kwaja jua mdomo hautafunguka tena kuila keki. Punguzeni mapovu, ni mabadiliko yametimia hakuna mtu au kitu chochote cha kuyazuia, huu ni ukweli wa historia katu msiue watu mkafikiri mnaweza kuzuia mabadiliko.
 
Memo ya mbowe kwa nchemba imeambatishwa.


Baada ya malumbano ya mbungeni Freeman Mbowe ambaye ni Mkuuwa kambi rasmi ya upinzani bungeni aliandika memo ambayo imeambatishwa kwa Mwigulunchemba, inasomeka kama inavyoonekana hapa chini:-

Mh. MWIGULU (MB)

- Ni dola ngapi umechangia mwanangu kusoma chekechea nje ya nchi?

- Naona mkakati wako kisiasa ndani na nje ya bunge umekuwa ' more and more attack onmyself ( personal) and my family'!

-
' mindyou i don't mind being criticised, but not on ficticious accusations withmalice intentions targetting, my personal life and my family!



My take: vita ya maneno makali ndani yabunge yanatupeleka wapi kisiasa?

Je kuandikiana vi-memo na kutupiana manenomakali mbungeni kuna athari za moja kwa moja na kutupiana maneno makali kwenye majukwaa ya kisiasa nje ya mbunge?

Je hakuna athari za mauaji ya kisiasa yanayotokea katika uwanja wa siasa nchini?

Nini kifanyike kuondoa hali hii????????

My take: Kukabiliana na Lameck Nchemba ni kumjengea umaarufu asiostahili, kunampa audience na kumvutia sympathy from sections of the society; Nchemba should be ignored with the contempt that he deserves; he is only playing his role as an attack dog to apease his masters; he has little substantive consequence; let the little pitiful demon bark his bowels out; the writting is on the wall; in BIG BLACK CAPITAL LETTERS, Nchemba and his ilk can not change the cause of history, Nchemba can fight, shout himself hoarse; abuse, rant; shredd pamphlets; throw fits, dig out dirt and propagate malice against the opposition, but when all is said and done; CCM has to die first and then probably for those who believe in reincarnation; Get born again!! Nothing can save CCM from that eventuality. it is only a matter of time and that time is ticking away pretty fast! wake up to that historical fact Mwigulu Lameck Nchemba; and the earlier the better before you go boncus!
 
Jamani msishangae kutukanwa,kukejeliwa na kushambuliwa pale utakaposema ukweli kuhusu chadema na viongozi wake, wanaofanya kazi hiyo ni vijana wa chadema wasiojitambua wako pale makao makuu ni kikosi kazi kinaongozwa na Mnyika hawa vijana wanapewa Posho kwa kazi ya kuitetea chadema na kuisemea mazuri mitandaoni wakati huo huo wanaishambulia CCM na serikali yale lendo kuui kuidhoofisha kwa wananchi ili waichukie na kuja kuipa madaraka ya utawla chadema yani wanapandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya CCM na serikali yake usifikiri wako vijana wengi hapana ni vijana wachache wanejisajili kwa IDs tofauti tofauti hiyo ndiyo chadema yenye mikakati michafu ya kushika dola ukionganisha na ule mkakati wa kushawishi,kudhamini na kuchochea migomo na fujo zote hapa nchini kwa Madaktari,Wanafunzi vyuoni na walimu! SHAME ON U CHADEMA Kwa mbinu chafu zinazoumiza watanzania!

CCM inamiliki vyombo vya dola. Kwa nini basi isiwakamate badala ya kubaki kulalamika tu kama vile hawana mamlaka? Hili ndilo janga kubwa zaidi katika taifa hili. Everybody is complaining, as if hakuna uongozi!
 
Imagine Nchemba ndo msomi na kiongozi wa juu wa CCM.

Hili ni yatizo kubwa! Hata kijana wangu wa nguruwe hana akili za kipumbavu namna hii!!
 
kajiandikia mwenyewe cdm hakuna mjinga kiasi hicho asee tena akome alijisahau akajiforwadia sms
 
huyo ni chemba 100% hayo maneno aliyotumia huwa anapenda sana kuyaongea katika mikutano yake ya hadhara, igunga aliongea sana maneno hayo fuatilia video za igunga utagundua ni mwigulu kajitumia sms
 
Kwa hilo mchemba umetukosa hizo sms zinafanana na akili yako hakuna mbunge au mwanachama yoyote wa Cdm anaweza kufanya hivyo.
 
Una matatizo. Ngoja nikusaidie kidogo kwa kukupa elimu ya bure.

Watanzania wa leo hawahitaji kuambiwa sana au kuchochewa dhidi ya serikali dhaifu ya ccm. Udhaifu wa serikali ni dhahiri, umeona mambo mengi lakini hili la Kova na Gwajima ni sehemu tu. Wizi wa mabilioni ya fedha za walipa kodi, mikataba ya ufujaji wa rasilimali za nchi na umasikini unazidi kukua kila uchao ni baadhi tu ya mambo yanayoinyima serikali ya ccm uhalali wa kuaminiwa na 'kupendwa' na watanzania. Tulioamua kusimama kidete kwa ajili ya kuwaelimisha wananchi hatufanyi hivyo kwa malipo ya fedha. Tumeelimika vya kutosha kujua kwamba matatizo ya umasikini tulio nao ni kutokana na sera mbovu za ccm na uongozi wake dhaifu. Tunaichukia ccm kwa kutufanya masikini na kuendelea kulifanya taifa letu kuwa omba omba.

Nyie mnaolipwa kueneza propaganda za chuki dhidi ya haki hamtafanikiwa. Hadi sasa mnaweweseka hamjui cha kufanya. Sasa mmeamua kuua na kufanya fujo waziwazi ili kuzipa uzito hila zenu mbele ya wananchi. Bahati mbaya kwenu, watanzania hawatishwi tena. Mlituua Arusha, Igunga, Arumeru, Bukoba na mkataka kuua wabunge wetu kule Mwanza, Iringa na maeneo mengine. Hata hivyo jeshi la wapenda haki ni kubwa, mtashindwa kwa aibu. Siku yaja, naam ii karibu sana mtakapokula matapishi yenu na hila zenu. Nchi yetu itasonga mbele, ccm itakufa kama ilivyo kwa KANU na vyama vingine duniani.

"... HAKI HULIINUA TAIFA".

Jamani msishangae kutukanwa,kukejeliwa na kushambuliwa pale utakaposema ukweli kuhusu chadema na viongozi wake, wanaofanya kazi hiyo ni vijana wa chadema wasiojitambua wako pale makao makuu ni kikosi kazi kinaongozwa na Mnyika hawa vijana wanapewa Posho kwa kazi ya kuitetea chadema na kuisemea mazuri mitandaoni wakati huo huo wanaishambulia CCM na serikali yale lendo kuui kuidhoofisha kwa wananchi ili waichukie na kuja kuipa madaraka ya utawla chadema yani wanapandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya CCM na serikali yake usifikiri wako vijana wengi hapana ni vijana wachache wanejisajili kwa IDs tofauti tofauti hiyo ndiyo chadema yenye mikakati michafu ya kushika dola ukionganisha na ule mkakati wa kushawishi,kudhamini na kuchochea migomo na fujo zote hapa nchini kwa Madaktari,Wanafunzi vyuoni na walimu! SHAME ON U CHADEMA Kwa mbinu chafu zinazoumiza watanzania!
 
CCM inamiliki vyombo vya dola. Kwa nini basi isiwakamate badala ya kubaki kulalamika tu kama vile hawana mamlaka? Hili ndilo janga kubwa zaidi katika taifa hili. Everybody is complaining, as if hakuna uongozi!

Of course hakuna uongozi.
 
Hakuna kitu hapo ndgu watanzania ni kiini macho kinachofanywa na kikundi cha watu kwa manufaa yao binafsi na wala c ya kitaifa.

Tujiepushe nao. Hata maandiko matakatifu yaliwahi kusema kuwa palipo na wachafu bc tujitege nao.
 
kama sms zenyewe ndio hizo, sina haja ya kuhofu tena kwa chama changu. Huko ni kutapatapa kwa mfa maji na sote tunajua ninammaanisha nani.
 
Back
Top Bottom