Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe na mjumbe wa kamati kuu ya chadema,leo wametoka kwa aibu kubwa uwanja wa Taifa baada ya timu wanayoishabikia,YANGA kupigwa bao mbili kwa moja na SIMBA
.Mbowe ambaye ni mnazi wa kutupwa wa Yanga akiongozana na Lowassa ambaye ni swahiba mkubwa wa Manji,walitegemea ushindi leo,ili watengeneze sinema pale pale uwanjani,ambapo ilipangwa bavicha wawarushie kadi na fulana za ccm,kuonesha kuwa eti ccm inamuonea Manji.
Mkakati huu ulikufa baada ya Yanga kupigwa bao la pili ambapo picha zilimuonesha Lowassa kazubaa kama vile haamini kinachotokea.
Chadema msipende kufanya siasa za matukio