MBOWE: Lowassa = Mabadiliko... Mabadiliko = Lowassa

Watanzania ukipigiwa/ukipiga simu usiseme hallo sema 'mabadiliko' upande wa pili utajibu 'Lowassa' afu sema 'Lowassa' upande wa pili utajibu 'Lowassa'
Ni hayo tu.
wewe kweli ni sexer na una mahaba kama jina lako .
 
Watanzania ukipigiwa/ukipiga simu usiseme hallo sema 'mabadiliko' upande wa pili utajibu 'Lowassa' afu sema 'Lowassa' upande wa pili utajibu 'mabadiliko'
Ni hayo tu.
Sheria ya mtandao itaanza na wewe......!!
 
Lowasa ni noma. Lumumba hawalali kwa sababu yake. Wengine wanaongea hadi sauti zinapotea. Chezea hangine Lowassa ndiyo habari ya Mujini!!!
 
Back
Top Bottom