TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Iko UFIPA...iyo shule yakusomea uwenyekiti wa chadema iko wapi nimpeleke akasome.?
Iko UFIPA...iyo shule yakusomea uwenyekiti wa chadema iko wapi nimpeleke akasome.?
mbowe anaakili nyingi sana....
Tatizo shule hana
Duh! Ni wewe au mwingine mkuu? Hongera sana.Utaelewa tu taratibu.
Tatizo shule hana
Niliwahi kusema kuwa Mbowe ni bonge la genius... wengi hawakunielewa ... Slogan aliyoitoa hivi punde imekwenda airborne ... Spread like virus ...
Kumbe wenye kuleta mabadiliko nchi hii ni CCM na si vinginevyo