MBOWE: Lowassa = Mabadiliko... Mabadiliko = Lowassa

Shule yako imeisaidia nini Taifa hili zaidi ya kuinajisi? ... Mmeua Viwanda, Mmegawa Madini yetu, mmegawa Gas yetu, Mmeiba hadi kwenye Hazina ya nchi aka BOT ... Tembo wanaisha, Sembe inashamiri na sasa Mnatuita Malofa Wapumbavu kwakuwa hatuna Vogue wala hatutibiwi Ughaibuni ...
Tatizo shule hana
 
Angalieni hotuba za Lowassa bungeni kupitia mitandao jamani ili mumjue vizuri misimamo yake msipende kupambishwa ili CCM iendelee kula mema ya nchi kifamilia.
 
Magufuli anaendelea kushangaa Reli kung'olewa Lindi, Mtwara - Dar to Arusha wamevandalised ili Malorry yao yafanyekazi .. Mwaka huu watajua kuwa Malofa na Wapumbavu tumezamiria kufanya mabadiliko ya ukweli ... Miaka 20 akiwa waziri leo hii wanazidi kutuona Malofa eti anaishangaa CCM iliyomteua kupeperusha Bendera yao...
 
Maneno hayo na matendo ya kuviringisha mkono ni sumu kwa CCM.Naomba tujadili hii kauli mbiu na matendo yake.
 
Watanzania ukipigiwa/ukipiga simu usiseme hallo sema 'mabadiliko' upande wa pili utajibu 'Lowassa' afu sema 'Lowassa' upande wa pili utajibu 'mabadiliko'
Ni hayo tu.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom