RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,861
- 2,754
Niliwahi kusema kuwa Mbowe ni bonge la genius... wengi hawakunielewa ... Slogan aliyoitoa hivi punde imekwenda airborne ... Spread like virus ...
Ni kweli aisee! Mbowe ndiye mwanasiasa bora Tz.Niliwahi kusema kuwa Mbowe ni bonge la genius... wengi hawakunielewa ... Slogan aliyoitoa hivi punde imekwenda airborne ... Spread like virus ...
Tatizo shule hanaMbowe ni alama ya siasa za kimageuzi nchini.
Niliwahi kusema kuwa Mbowe ni bonge la genius... wengi hawakunielewa ... Slogan aliyoitoa hivi punde imekwenda airborne ... Spread like virus ...
Ahsante Mbowe kwa kukiri kuwa ni Lowasa ndiye aliyeleta mabadiliko
Tatizo shule hana
Mbowe au Lowassa?mbowe anaakili nyingi sana....
Duh! Ni wewe au mwingine mkuu? Hongera sana.Utaelewa tu taratibu.Ahsante Mbowe kwa kukiri kuwa ni Lowasa ndiye aliyeleta mabadiliko