Mbowe, Lowassa kuwanadi wagombea wa CHADEMA nchi nzima

Huo ni woga tu unawasumbua ccm.hiyo sheria ilitaja kampeni,kila mbunge afanyie jimboni kwake ? Inadhihirisha mnavyowahara chadema hasa wabunge wakiwa zaidi ya mmoja mahali.mnajua madhara yao wanapo shambulia kirusi ccm mahali,eneo hilo lazima watu wageuze imani zao na kujiunga chadema.nyie mpaka magufuli anawasaidia kampeni,kwa kulazimisha apendwe popote anapohutubia.nani ampende wakati anataka watu waishi kama shetani !!
 
Tangu magufuli akataze kufanya mikutano ya kisiasa nje ya jimbo la mbunge husika, kuna mbunge aliwahi kuthubutu kwenda kinyume na amri hiyo ?
ni kweli. Ni katazo lisilo la kisheria wala la kikatiba. matumizi mabaya ya uongozi.
 
Back
Top Bottom