joyce mngongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 890
- 971
Huo ni woga tu unawasumbua ccm.hiyo sheria ilitaja kampeni,kila mbunge afanyie jimboni kwake ? Inadhihirisha mnavyowahara chadema hasa wabunge wakiwa zaidi ya mmoja mahali.mnajua madhara yao wanapo shambulia kirusi ccm mahali,eneo hilo lazima watu wageuze imani zao na kujiunga chadema.nyie mpaka magufuli anawasaidia kampeni,kwa kulazimisha apendwe popote anapohutubia.nani ampende wakati anataka watu waishi kama shetani !!