Mbowe, Lowassa, Bulaya, Jacob na mrembo Wema Sepetu kuhudhuria Mechi Baina ya Simba Vs Yanga

yanga wanatamani sana kuvaa jezi zisizo na rangi yoyote ya kijani kwa sasa ila wanashindwa. juzi juzi walivaa njano tupu. wameigomea kijani kabisa. sema njano nayo ipo kwenye bendera ya ccm basi tu hawana jinsi. but you can tell ishu ya manji imefawanya yanga kutoipenda ccm angalau kwa wakati huu. nadhani kesho mtashuhudia yanga watakua kwenye pure yellow. hakuna kijani.
 
.....
.....wajipake matope
 
Mwenyekiti Freeman Mbowe , Mh Edward Lowassa waziri mkuu Mstaafu na Mjumbe wa kamati ,Mh Bulaya, Mayor Ubungo Boniface Jacob na Viongozi Mbali mbali wa Chama akiwepo Mrembo wa Tanzania 2006 watahudhuria Mechi Baina ya Simba Vs Yanga Uwanja wa Taifa. Karibuni tujionee maendeleo ya soka na ligi kuu yetu

Hemed Ally
Mwenezi CHADEMA- TAIFA.
Tangu lini huyo Hemed Ally amemreplace Tumaini Makete?
 
Naomba kueleweshwa tu kama chadema ni chama cha wahalifu au la.
Kila anayetuhumiwa ndani ya ccm kwa uhalifu uwe ni ufisadi au dawa za kulevya utamsikia anakimbilia chadema. Ni vema Chadema mkajitafakari kabla ya Watanzania kufanya uamuzi juu yenu mwaka 2020 na kujikuta hampati hata 5% ya wapiga kura wote.

Si kila ndege huliwa la hasha wengine wana sumu kali.
 
dbfdf83d3a1f2ed5ec052f81284755f9.jpg
 
Naona wanataka kuharibu mechi, Polisi zuia hao wasiingie uwanjani, likely wataleta political lapsha mule ndani.
 
Naomba kueleweshwa tu kama chadema ni chama cha wahalifu au la.
Kila anayetuhumiwa ndani ya ccm kwa uhalifu uwe ni ufisadi au dawa za kulevya utamsikia anakimbilia chadema. Ni vema Chadema mkajitafakari kabla ya Watanzania kufanya uamuzi juu yenu mwaka 2020 na kujikuta hampati hata 5% ya wapiga kura wote.

Si kila ndege huliwa la hasha wengine wana sumu kali.
Bakiza maneno ,usije kana maneno yako!!!!
 
Hizi ni akili za kiuchafu sana. Nani kakwambia wema ana wafuasi hata mil 1? Amehamia cdm yeye na mama yake umesikia wapi wengine wamehamia ccm?hata 1000 tu? Ukiwa na akili hii kuna siku utamweka alikiba kuwa mgombea urais.
Kisiasa wema hana mvuto wowote zaid zaid ataichafua cdm kama alivyoichafua ccm kipindi chote. Kudanganyana eti ana wafuasi ni kujifariji. Sana sana kuna watu cdm watajipatia tu mtu wa kutembea naye kama ilivyokuwa ccm.

Cdm asili wanaumia sana kwa blunder hii na nyinginezo zinazofanyika na hii italeta mgogoro trust me.
Yanga ina wapenzi na washabiki zaidi ya milioni 20, Wema Sepetu peke yake ana followers milioni 2.5 kwenye Insta, Uchaguzi wa mwaka jana mshindi alipata kura milioni nane tu!

Iwapo robo ya mashabiki wa Yanga plus nusu ya Washabiki wa Wema wamuunge mkono mgombea yoyote wa kisiasa nchini!, uchaguzi utakuwa mtamu
 
Back
Top Bottom