Mbowe, Lema na Mzee Ndessa Pesa ndani ya Dongobesh Mbulu tarehe 13.06.2013

bluetooth23

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
348
324
Ndugu wapigania haki, leo jioni mbunge wa Mbulu mjini Mustapha Akonnay na mbunge wa Karatu Israel Natse walikuwa kata ya Dongobesh wilayani Mbulu kumnad mgombea udiwani wa chadema. Hakika kwa uelewa na utambuzi watanzania hasa wa vijijini wanaoendelea kuupata na kuenea, CCM haina chake mwaka 2015. Tarehe 13 mwezi huu mwenyekit wa taifa wa Chadema Freeman Mbowe, mzee Ndesamburo na jembe Godbless Lema watakuwa katika kata hyo ya Dongobesh wilayan Mbulu, uchaguz utafanyika tarehe 16 mwez huu kuzba nafasi ya mbunge wa Chadema aliyefariki dunia. Ni mashambuliz ya kutoka kona zote, mwendo ni kukaba mpaka penati na mpaka vivuli had wez na wakolon weusi CCM waondoke. NB. Correction kwenye tittle ya post, ni tarehe 13.06.2013 na siyo 13.06.2014
 
Uwepo wa CHADEMA kwenye nchi yetu ya Tanzania ni mpango wa shetani.
 
Mleta mada relax, mnaogopa kishindo cha CCM mpaka basi, hata mwaka tu una kushinda kuutambua? bado tupo mwaka 2013 ndugu mleta mada.
 
Kwa Mtaji huo CCM wana kaz.Na watatakia uchaguz mwema na ushindi wa kishindo.
 
Ndugu wapigania haki, leo jioni mbunge wa Mbulu mjini Mustapha Akonnay na mbunge wa Karatu Israel Natse walikuwa kata ya Dongobesh wilayani Mbulu kumnad mgombea udiwani wa chadema. Hakika kwa uelewa na utambuzi watanzania hasa wa vijijini wanaoendelea kuupata na kuenea, CCM haina chake mwaka 2015. Tarehe 13 mwezi huu mwenyekit wa taifa wa Chadema Freeman Mbowe, mzee Ndesamburo na jembe Godbless Lema watakuwa katika kata hyo ya Dongobesh wilayan Mbulu, uchaguz utafanyika tarehe 16 mwez huu kuzba nafasi ya mbunge wa Chadema aliyefariki dunia. Ni mashambuliz ya kutoka kona zote, mwendo ni kukaba mpaka penati na mpaka vivuli had wez na wakolon weusi CCM waondoke. NB. Correction kwenye tittle ya post, ni tarehe 13.06.2013 na siyo 13.06.2014

Huyo Lema mwambieni atulie Arusha ashuhudie Mwigulu,shonza , mwampamba na viongozi wa ccm mkoa watakavyomgalagaza tarehe 16
na kuna tetesi kwamba Comrade Nape naye atakuja Arusha kupiga bashrafu.
 
Lema tu anawatosha. CCM mnapeleka Arusha watu kibaaaaaaaoo.. Mara Miguu Chemba, mara Juliana, mara Mwisho Mwampamba, mara Ray C, mara Nepi Nnauye mtoto wa nje wa Mwandosya, mara Kinana, mara Ole sendeka. Lema tu jesh la mtu mmoja anawatosha na kuwanyima usingiz Arusha.
 
Uwepo wa CHADEMA kwenye nchi yetu ya Tanzania ni mpango wa shetani.

Mkuu Sumu!

Naamini mpango wa shetani ni kwa majizi ya rasilimali zetu na ambao kuwawajali waTanganyika. Si unawaona wakijifanya kila siku kushangaa maendeleo ya nchi za wenzetu!
 
ndugu wapigania haki, leo jioni mbunge wa mbulu mjini mustapha akonnay na mbunge wa karatu israel natse walikuwa kata ya dongobesh wilayani mbulu kumnad mgombea udiwani wa chadema. Hakika kwa uelewa na utambuzi watanzania hasa wa vijijini wanaoendelea kuupata na kuenea, ccm haina chake mwaka 2015. Tarehe 13 mwezi huu mwenyekit wa taifa wa chadema freeman mbowe, mzee ndesamburo na jembe godbless lema watakuwa katika kata hyo ya dongobesh wilayan mbulu, uchaguz utafanyika tarehe 16 mwez huu kuzba nafasi ya mbunge wa chadema aliyefariki dunia. Ni mashambuliz ya kutoka kona zote, mwendo ni kukaba mpaka penati na mpaka vivuli had wez na wakolon weusi ccm waondoke. Nb. Correction kwenye tittle ya post, ni tarehe 13.06.2013 na siyo 13.06.2014

hapo kwenye red nadhani mtoa mada umekosea
 
Wasiwasi wangu hawa chadema wanaonyesha dalili za wizi mapema mpaka naomba wasipite maana mali zitatafunwa sana.
 
Back
Top Bottom