Mbowe kuwa huru Rais Samia na Serikali mmepumua

Kubali kataa, kesi Mbowe ilimuweka pabaya Sana Samia. Sema CCM walikuwa wanajikosha kana kwamba hakuna shida.

Samia alipokuwa anapost kitu Tweeter, kwenye comments 200, comments 150, zilikuwa zinahusu Mbowe sio gaidi. Hapa jamii forum ilikuwa ni Mbowe tu.

Samia alipokwenda nje, interview alizofanya na VOA, BBC n.k, Swala la Mbowe lilitawala Sana, last year kwenye ziara ya UN, hadi US department of state, walikataa aonane na Biden.

Baada ya Mbowe kuachiwa, hadi mazuri ya Samia yanaanza kuonekana,, kwenye mitandao kumepoa tulii.

Samia now amebadilika, anamzungumzia Mbowe kwa staha(refer interview na kikeke ya Jana), sio Kama mwanzoni, maana mwanzoni alimzungumzia Mbowe, utadhani Mbowe ni mtu wa kawaida. Na ata walioandaa kesi hawakutegemea consequences za hii kesi.

Serikali now mjifunze kuishi na wapinzani maana mkiwapa mikesi ya uongo na nyinyi hamtaishi kwa amani
Kwa tunaojua siasa Mbowe anatakiwa amshukuru kwanza Rais Samia. Cha pili afahamu kuwa ukitekwa na majambazi wakakupeleka porini halafu wakakutesaaaa mpaka kutaka kukuaa, baadaye wakatulia. Kesho yake wanakuja kukuambia tunakuachia huru wewe nenda tu, wanakufungia pingu na kukuambia haya kimbia uende upo huru. Nadhani unajua maana yake. Cha kwanza inawezekana wanataka ukigeuka tu kuanza kukimbia wakumiminie risasi ufa. Cha pili ukiwaudhi mfano unawatukana huku unakimbia watakumiminia risasi pia ufe. So Mbowe ni mjinga sana. Ameanza vibaya mno. Yeye badala ya kujenga mahusiano anaeneza uhasama. Ajue hata hapo Hai wafuasi wa Dkt Magufuli wapo wengi.
 
Binafsi ccm na polisi kamateni tena mbowe arudi rupango kwani cku haziendi nilikua nainjoy nafatilia kesi ya mbowe sikumbili tu mshahara unasikia ushatoka yaani toka ametoka sikumoja imekua zito Kama imebeba sikutano
daa nilienjoy kinoma, sema inakuwa maumivu kwa Mbowe,Ila kesi inasisimua
 
Kubali kataa, kesi Mbowe ilimuweka pabaya Sana Samia. Sema CCM walikuwa wanajikosha kana kwamba hakuna shida.

Samia alipokuwa anapost kitu Tweeter, kwenye comments 200, comments 150, zilikuwa zinahusu Mbowe sio gaidi. Hapa jamii forum ilikuwa ni Mbowe tu.

Samia alipokwenda nje, interview alizofanya na VOA, BBC n.k, Swala la Mbowe lilitawala Sana, last year kwenye ziara ya UN, hadi US department of state, walikataa aonane na Biden.

Baada ya Mbowe kuachiwa, hadi mazuri ya Samia yanaanza kuonekana,, kwenye mitandao kumepoa tulii.

Samia now amebadilika, anamzungumzia Mbowe kwa staha(refer interview na kikeke ya Jana), sio Kama mwanzoni, maana mwanzoni alimzungumzia Mbowe, utadhani Mbowe ni mtu wa kawaida. Na ata walioandaa kesi hawakutegemea consequences za hii kesi.

Serikali now mjifunze kuishi na wapinzani maana mkiwapa mikesi ya uongo na nyinyi hamtaishi kwa amani

Ni ajabu na kweli kwamba wao na vibaraka wao pale Lumumba hawataki "haki":

Zifanywe siasa za Haki, Haki huleta Amani na Amani huleta Upendo

Hivi hata huko misikitini na makanisani mnakwenda kufanya nini enyi ndugu?

Maisha mbona rahisi tu kama ilivyo sasa? Taabu yote ya nini?
 
Mmmmh ilikuwa Tabu hata kwangu Mimi..Basi tuu Lakini moyo ulikataa kata kata Kwamba Mbowe anaweza fanya Ugaidi.
Ilikuwa hakuna namna lazima Mbowe aachiwe. Kumfunga mbowe Viongozi wa Dini, viongozi wa vyama vya siasa na vyombo vya usalama vilikuwa havilali.
 
Back
Top Bottom