Mbowe kutokufungwa pingu yawa agenda ya kamati ya roho mbaya, malalamiko kufikishwa kwa Waziri. Tusubiri

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
627
1,000
Nimesikia Watu Zaidi ya Kumi Sasa wakilaumu Kwa Nini Magereza siku hizi wanamwacha Mbowe free bila pingu na kuruhusu asalimiane na Watu? Hii imetokea siku chache baada ya wanachadema kuimba mahakamani huku watuhumiwa wakiwa wanafurahi.

Mzee Mmoja mstaafu anaishi jirani kwangu hapa ameenda mbali nakusema kitendo cha watuhumiwa kupeana mikono na wananchi huku wakitabasamu nikuonyesha dharau kwa viongozi nakuonyeaha kwamba adhabu waliyopewa ni ndogo.

Nikajiuliza wamepewa adhabu gani? Nadhani mnaelewa Hawa wazee wanaojihita wa system waliostaafu wanavyojionaga first class citizen na wao ndio waliosoma ujasusi sijui urusi sijui Israel nk. Kilichonishtua ni kusikia suala hili linataiwa kupelekwa Kwa Waziri nikamtolea uvuvi huyo Mzee nikamuuliza " wewe Mzee unajua umebakiza miaka mingapi kuishi?

Badala utubu unajiandaa kwenda kuzimu na dhambi zako? Sisi wazee tunapaswa kuongea maridhiano siyo chuki na mipango yakishetani.........naamini alinielewa na akisoma huu uzi utabaini nimekasirika na Naamini atorudia Tena kuongea utumbo Kwa kutumia retirement package yake. Sisi wazee tunachangia sana kuporomoa maadili ya nchi tumejaa ubinafsi.

Watu kama Hawa wanaotamani watoto wetu wawe jela siku Ndugu zao wakitiwa ndani ndo Huwa wanaopata kiarusi, binadamu tuna roho mbaya sana, tumeweka familia na matumbo mbele Hadi uzeeni.

Mkiona watuhumiwa wameongezewa pingu tambueni kamati ya fitna imekaa Kati, siku mkiona askari Magereza wamebadilika wakaondoa binadamu tambueni tabasamu la akina adamoo linawatesa wenye madaraka na wastaafu.

Tuna kila sababu kufunga na kuomba Hawa watu awamjui Mungu wanajua madaraka na Fedha , usione wanazungumzia uchawi uchawi upo kweli.

Usione uspika watu 60+ ni ishara Kwamba wanawaza Kinga wasishtakiwe, usine Naibu anachukua fomu hii ni ishara Kwamba tumekuwa na uchu wa madaraka kutekeleza usemi wa kufa kufaana.
 
Akui

JF-Expert Member
Dec 3, 2016
459
500
wamfunge hadi minyororo kama enzi za watumwa ila wakae wakijua 2025 Mungu anatenda jambo
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
65,127
2,000
Kiufupi sielewi kwanini mtuhumiwa anapigwa pingu ilhali analindwa na maaskari kibao wenye silaha za vita....

Ni kudhalilishana tu. Haijathibitika ana hatia na yuko chini ya ulinzi wako.... Pingu za nini??

Afu kuna yule mfungwa kule Arusha anaingia mahakamani amenyoa panki. Siku hizi wafungwa wananyoa panki?
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
16,582
2,000
...
Tuna kila sababu kufunga na kuomba Hawa watu awamjui Mungu wanajua madaraka na Fedha , usione wanazungumzia uchawi uchawi upo kweli. Usione uspika watu 60+ ni ishara Kwamba wanawaza Kinga wasishtakiwe, usine Naibu anachukua fomu hii ni ishara Kwamba tumekuwa na uchu wa madaraka kutekeleza usemi wa kufa kufaana.
... unajua kuna baadhi ya watu wanaamini bila wao hakuna Tanzania; that is wrong! Such kind of wazee are disgrace to our nation; ni kuomba Mungu awaondoe for good maana watu wanaodhani wao ndio nchi ni hatari sana!
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
91,215
2,000
Nimesikia Watu Zaidi ya Kumi Sasa wakilaumu Kwa Nini Magereza siku hizi wanamwacha Mbowe free bila pingu na kuruhusu asalimiane na Watu? Hii imetokea siku chache baada ya wanachadema kuimba mahakamani huku watuhumiwa wakiwa wanafurahi.

Mzee Mmoja mstaafu anaishi jirani kwangu hapa ameenda mbali nakusema kitendo cha watuhumiwa kupeana mikono na wananchi huku wakitabasamu nikuonyesha dharau kwa viongozi nakuonyeaha kwamba adhabu waliyopewa ni ndogo. Nikajiuliza wamepewa adhabu gani? Nadhani mnaelewa Hawa wazee wanaojihita wa system waliostaafu wanavyojionaga first class citizen na wao ndio waliosoma ujasusi sijui urusi sijui Israel nk. Kilichonishtua ni kusikia suala hili linataiwa kupelekwa Kwa Waziri nikamtolea uvuvi huyo Mzee nikamuuliza " wewe Mzee unajua umebakiza miaka mingapi kuishi? Badala utubu unajiandaa kwenda kuzimu na dhambi zako? Sisi wazee tunapaswa kuongea maridhiano siyo chuki na mipango yakishetani.........naamini alinielewa na akisoma huu uzi utabaini nimekasirika na Naamini atorudia Tena kuongea utumbo Kwa kutumia retirement package yake. Sisi wazee tunachangia sana kuporomoa maadili ya nchi tumejaa ubinafsi.

Watu kama Hawa wanaotamani watoto wetu wawe jela siku Ndugu zao wakitiwa ndani ndo Huwa wanaopata kiarusi, binadamu tuna roho mbaya sana, tumeweka familia na matumbo mbele Hadi uzeeni.

Mkiona watuhumiwa wameongezewa pingu tambueni kamati ya fitna imekaa Kati, siku mkiona askari Magereza wamebadilika wakaondoa binadamu tambueni tabasamu la akina adamoo linawatesa wenye madaraka na wastaafu.

Tuna kila sababu kufunga na kuomba Hawa watu awamjui Mungu wanajua madaraka na Fedha , usione wanazungumzia uchawi uchawi upo kweli. Usione uspika watu 60+ ni ishara Kwamba wanawaza Kinga wasishtakiwe, usine Naibu anachukua fomu hii ni ishara Kwamba tumekuwa na uchu wa madaraka kutekeleza usemi wa kufa kufaana.
Napendekeza kuanzia wiki ijayo Mbowe afungwe pingu kichwani na miguuni
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,392

Ingawa kisheria hakuna mtuhumiwa anayestahili kupewa preferential treatment, busara ya kawaida nadhani haiwezi kumuona mtu kama Mbowe kuwa anaweza kuamua kutimua mbio au kuzua varangati kama hajafungwa pingu.

Mtu anafungwa pingu for security reasons. Kama hakuna security concern, sio lazima mtuhumiwa kufungwa pingu. Of course, kumfunga au kutomfunga pingu ni discretion ya askari magereza. In the unlikely event kwamba kaamua kukimbia au kuzua tafrani, lawama zitawahusu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom