Kama watu wanakamatwa hadi whatssap basi Wakudadavuwa inatakiwa akamatwe akatoe ushahidi,huu ushenzi wa propaganda za Lumumba ni uhuni usiokubalika.
Jielekeze kwenye hoja dogo.Kibaraka wa ccm kujipendekeza kuandika habari za chadema wakati upande wake umeoza balaa
Kijana kuna mambo huwezi kuelewa.Watu wa lumumba bhana tangia lini Ufagio wa choon ukachanganywa na chakula
Ipo siku utauficha uso wako.Uzuri wa cdm wapo makini sana kwenye maandishi yao, lakini hawa wa lumumba story zao za kimakinikia tu!!!
Yaweza kuwa nadhalia but jaribu kunipa ushawishi kidogo nieleweKijana kuna mambo huwezi kuelewa.
Rejea andiko hapo juuYaweza kuwa nadhalia but jaribu kunipa ushawishi kidogo nielewe
Siku moja yatuwa kweli.Propaganda ya kitoto, ntashangaa kama na huyu atapewa buku 7
mwanaume mashineIgwe wana JF!
Kwa wajuvi wa mambo tumeshayaona, Ni Freeman Mbowe tena uenyekiti Chadema. Wengi wenye mrengo wa Lissu ndani ya Chadema waliotaka mabadiliko ya kiuongozi ndoto yao imeyeyuka kama barafu inayochemka ndani ya sufuria. Nidhamu ya uoga imewajaa wote waliokuwa wakifikiria kupata uongozi mpya ndani ya Chadema hivi karibuni.
Mwanasiasa Zitto Kabwe bila ya kinyongo aliamua kwenda kumsalimia ndugu Tundu Lissu kule hospitalini Kenya pengine ndiye mtu pekee aliyeonyesha uchungu wa dhati kuliko jopo la watalii linaloongozwa na Msigwa na Lema ambao wamekuwa ni watu wa kupiga picha na kujirekodi huku wakikebehi watu kana kwamba wamekuwa raia wa Kenya. Picha zao za selfie na video ni kielelezo cha furaha zao kutokana na uhakika ya kwamba tishio lao ndani ya Chadema limeshindwa. Hakuna shaka kama Tundu Lissu angepata nafasi ya uenyekiti Chadema kundi hili la wanasiasa ''wajanja wajanja'' lingetoswa. Niliiona Chadema ambayo ingeshindana na CCM kwa hoja na sio Chadema hii inayotumia mtindo wa 'tekeu' ama 'katuni'...yaani mbinu ya masihara na vimbwanga. Naam, Pamoja na maungufu ya Tundu Lissu hivi karibuni lakini angalau angeibadilisha Chadema.
Kwa nini ilikuwa muhimu Zitto Kabwe kuonana na Tundu Lissu? kwa wasiojua miaka mitatu iliyopita Ndg.Zitto Kabwe alipitia madhila kama ya Lissu japo kwa mtindo tofauti, hawakufanikiwa kumdhuru kwani wazee wa Kigoma walikuwa makini. Zitto alipata kutamka hadharani ''i am not a pull over, hamuwezi kunifanya kama mlivyonfanya Wangwe'' na hapa mafia hao waliufyata na wakabakiwa na silaha moja tu ambayo ni Tundu Lissu. Lissu ndiye alitumwa kuhakikisha Zitto anavuliwa uanachama ili 'Sultani' abaki salama.
Huenda Lissu baada ya kumuona Zitto kule Nairobi alikumbuka mengi na poengine walishauriana mengi likiwamo suala la usalama binafsi wa Lissu.
Hoja hupingwa kwa hoja si viroja.
Kuna wakati matusi tunajitakia kwa kweli..pole sanaIgwe wana JF!

Utaelewa siku moja.Kuna wakati matusi tunajitakia kwa kweli..pole sana
Nilipofikia hakuna utakachonielewesha labda kunikumbusha tuUtaelewa siku moja.