Mbowe kupangua baraza lake la mawaziri ili kuendana na kasi ya Rais Magufuli

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
5,318
2,000
Kitu cha kwanza kufanywa na kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni baada ya kutoka nyavuni atafanya mabadiliko makubwa kwenye baraza lake kivuli hasa baada ya kutoridhishwa na utendaji wa baadhi ya mawaziri wake vivuli.

Baada ya kutembelewa mwishoni mwa wiki hii na mwenyekiti wa ACT na kupewa rasmi ripoti yaujenzi mbalimbali huku uraiani hasa hasa upatikanaji wa maji, uonganishwaji wa umeme,mwamba Lowassa kurudi nyumbani nk kwa pamoja walikubaliana kujibu mapigo hayo kwa nguvu kwa kubadilisha baadhi ya wizara.

Mpaka sasa taarifa zilizo mezani zinaonesha Msigwa na Lema watawekwa kando kusubiri kupangiwa kazi nyingine.
JF yapi maoni yenu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom