Mbowe kulifumua baraza la mawaziri kivuli; nani kuingia/kutoka?

Gazeti la Mwananchi ni dhaifu?linanukuliwa likieleza kuwa katika cabinet ya Mh.Mbowe inayotarajiwa kurekebisha ",Mbowe kupangua baraza kivuli la Mawaziri".....eti Mh.Kabwe na T.Lissu wanategemewa kutolewa ktk nafasi zao.Linawezekanaje huu ni utabiri wa kidhaifu,inawezekanaje watu wanaofanya vizuri ktk nafasi zao watolewe.Iv kuna waziri hata wa JK anayefanya vizuri kama hawa majamaa. Haingii akilini kum-Ngereja Mr.Silly Season. Tutumie nafasi hii pia kutoa mapendekezo yetu kwa Mh.Mbowe
 
ni tetesi tu ambazo hazina maana kuzijadili. utaleta malumbano zaidi kuliko kujenga
 
Kama ni kweli habari hii imetoka mwananchi mhariri wake alilala hakufanya kazi yake, naonakama ni uvumi.
 
Wabunge wa Chadema ndio dhaifu ndio maana Mbowe anapangua Baraza la Mawaziri Kivuli wameshindwa kufichuwa chochote kutoka serikalini.

Nimewahi kuleta hii thread humu JF...mtu wa kwanza kutemwa ni Selasini.
 
Gazeti la Mwananchi ni dhaifu?linanukuliwa likieleza kuwa katika cabinet ya Mh.Mbowe inayotarajiwa kurekebisha ",Mbowe kupangua baraza kivuli la Mawaziri".....eti Mh.Kabwe na T.Lissu wanategemewa kutolewa ktk nafasi zao.Linawezekanaje huu ni utabiri wa kidhaifu,inawezekanaje watu wanaofanya vizuri ktk nafasi zao watolewe.Iv kuna waziri hata wa JK anayefanya vizuri kama hawa majamaa. Haingii akilini kum-Ngereja Mr.Silly Season. Tutumie nafasi hii pia kutoa mapendekezo yetu kwa Mh.Mbowe

Mimi sioni ajabu, lolote linaweza kutokea hapa Bongo. Usishangae kuona ombaomba mkuu rafiki yake kipenzi wa Msambaa kuwa Waziri wa Fedha. Udhaifu wako unaweza kuwa qualification ya kupewa ujiko katika idara nyeti hapa Bongo, bora ujue kuchanganya karata zako vizuri na timing nzuri.
 
inashangaza sna hii,ni habari ya Mwananchi,google now ujiridhishe

Unashangaa nini mkuu wakati ni kweli wewe Chadema gani hata hujui habari za chama chako! Mie sio Chadema lakini nakupa habari za chama chako kesho Mbowe anapangua Baraza Kivuli.. Wala sio tetesi
 
Hata Kikwete anapopanga baraza lake anakaa na Pinda. Mbowe yeye hadi awatoe atakuwa amekaa na mke wake kupanga baraza hilo?
 
Wabunge wa Chadema ndio dhaifu ndio maana Mbowe anapangua Baraza la Mawaziri Kivuli wameshindwa kufichuwa chochote kutoka serikalini.

Nimewahi kuleta hii thread humu JF...mtu wa kwanza kutemwa ni Selasini.

nategemea Selasini atabaki kwakuwa ni Mchaga. Mbowe hawezi kumtema.
 
Back
Top Bottom