VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Baraza ni kubwa sana kulingana na nchi yetu masikini
source BBC Swahili
My take
Thats what every honest taxpayer thinks
source BBC Swahili
My take
Thats what every honest taxpayer thinks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
achangia nini na huku haitambui serekali ? au ndio anatambua kimtindo ?
Mbona wananchi walio wengi wanalipongeza? Tuna safari ndefu kweli kweli
DenyoSio kubwa tu ila limejaa watu wasio na lengo la kumkomboa mlalahoi hivi nani anategemea kitu kipya kwa ngeleja, magembe, lukuvi, kawambwa, sophia simba, kabaka,nchimbi,chami,hawa ghasia,husein mwinyi,nahodha,maige, mkullllllllo hawa ni bure tantalile labda juhudi binafsi, mark mwandoshya, magufuli, hawa wapya ngoja tuone but kwa mafisadi kuanzia juuuu tegemea maumivu zero zero
Am sure hakuna mwananchi anayepongeza ukubwa wa baraza; bali watu wanapongeza baadhi ya uteuzi mfano magufuli, tibaijuka na kutokuwepo kwa kina lowassa ambao watu walizani watakuwepo. Ila idadi ya mawaziri sidhani kama kuna mtu anapongeza.Mbona wananchi walio wengi wanalipongeza? Tuna safari ndefu kweli kweli
achangia nini na huku haitambui serekali ? au ndio anatambua kimtindo ?
Kwanza niseme ni vipofu, halafu hakuna mtu mwenye akili timamu anayepongeza ukubwa wa baraza labda kwa mengine.Mbona wananchi walio wengi wanalipongeza? Tuna safari ndefu kweli kweli
Ukitaka kuongea na waasi wowote lazima uwatambue hata Savimbi alitambuliwa.achangia nini na huku haitambui serekali ? au ndio anatambua kimtindo ?
Am sure hakuna mwananchi anayepongeza ukubwa wa baraza; bali watu wanapongeza baadhi ya uteuzi mfano magufuli, tibaijuka na kutokuwepo kwa kina lowassa ambao watu walizani watakuwepo. Ila idadi ya mawaziri sidhani kama kuna mtu anapongeza.
Nauliza hivi, safari hii mawaziri watapelekwa semina Ngurdoto kama 2005?
Mkuu soma magazeti ya leo, kisha subiri ya kesho
Kwanza niseme ni vipofu, halafu hakuna mtu mwenye akili timamu anayepongeza ukubwa wa baraza labda kwa mengine.