Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Vijana wa zamani walikuwa na msemo "ponda mali kufa kwaja" hiki ndicho kinachoendelea sasa Chadema. Kuna vijana waliamini wanaweza kutimiza ndoto zao za kisiasa lakini sasa wamekata tamaa kwani "mwamba tuvushe" au "Kaka mkubwa" kaamua "kukomba hadi ukoko"
Pamoja na kuonywa kuwa hiyo si taasisi bali ni mali ya familia hawakusikia lakini sasa wamebaki na bumbuwazi wasijue cha kufanya.
Wakati ukuta.
Sent using Jamii Forums mobile app