Mbowe kaamua kula urithi mwenyewe

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Vijana wa zamani walikuwa na msemo "ponda mali kufa kwaja" hiki ndicho kinachoendelea sasa Chadema. Kuna vijana waliamini wanaweza kutimiza ndoto zao za kisiasa lakini sasa wamekata tamaa kwani "mwamba tuvushe" au "Kaka mkubwa" kaamua "kukomba hadi ukoko"

Pamoja na kuonywa kuwa hiyo si taasisi bali ni mali ya familia hawakusikia lakini sasa wamebaki na bumbuwazi wasijue cha kufanya.

Wakati ukuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mngefanya research kujua tatizo nini, mnatumia nguvu kubwa sana kupambana na CDM, CCM watu hawaitaki tu hapo ndio shida ilipo na huwezi kupambana na nyakati.. Kutopendwa CCM ni nyakati tu imefika..

Maadui watatu, MARADHI, UMASIKINI, UJINGA mmeshindwa kupambana nayo toka uhuru.. Kama umeshindwa kujenga msingi utashindwa kila mahala..
 
Yan mbowe chadema ikichukua NCH atanenepa mpaka apasuke mada ni bonge pa mpiga dil
Ndugu zangu,

Vijana wa zamani walikuwa na msemo "ponda mali kufa kwaja" hiki ndicho kinachoendelea sasa Chadema.Kuna vijana waliamini wanaweza kutimiza ndoto zao za kisiasa lakini sasa wamekata tamaa kwani "mwamba tuvushe" au "Kaka mkubwa" kaamua "kukomba hadi ukoko"

Pamoja na kuonywa kuwa hiyo si taasisi bali ni mali ya familia hawakusikia lakini sasa wamebaki na bumbuwazi wasijue cha kufanya.

Wakati ukuta.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Vijana wa zamani walikuwa na msemo "ponda mali kufa kwaja" hiki ndicho kinachoendelea sasa Chadema.Kuna vijana waliamini wanaweza kutimiza ndoto zao za kisiasa lakini sasa wamekata tamaa kwani "mwamba tuvushe" au "Kaka mkubwa" kaamua "kukomba hadi ukoko"

Pamoja na kuonywa kuwa hiyo si taasisi bali ni mali ya familia hawakusikia lakini sasa wamebaki na bumbuwazi wasijue cha kufanya.

Wakati ukuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan watu kama wewe ni kama mnajidhalilisha kwa kuandika vitu visivyo na maana kama hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UJINGA - ni zaidi ya 50%.
UMASIKINI - ni zaidi ya 50%.
MARADHI - ni zaidi ya 50%.

Leo hii Watanzania zaidi ya 50% hawana uwezo wa kuweka akiba hata ya siku mbili.
Leo hii Taifa linamiliki zaidi ya 50% unskilled workforce, bado idadi ya wanaokwenda na kuhitimu shule ni ndogo, bado wasiojua kusoma na kuandika ni wengi nk.
Leo bado jamii yetu inapata huduma mbovu za Afya, tumeshindwa kutokomeza baadhi ya maradhi nk..

Halafu mtu anaamka asubuhi anapambana na Mbowe na CDM....hivi hauoni hata aibu na kuonea huruma Watanzania wenzio wanaoteseka??
 
Ndugu zangu,

Vijana wa zamani walikuwa na msemo "ponda mali kufa kwaja" hiki ndicho kinachoendelea sasa Chadema. Kuna vijana waliamini wanaweza kutimiza ndoto zao za kisiasa lakini sasa wamekata tamaa kwani "mwamba tuvushe" au "Kaka mkubwa" kaamua "kukomba hadi ukoko"

Pamoja na kuonywa kuwa hiyo si taasisi bali ni mali ya familia hawakusikia lakini sasa wamebaki na bumbuwazi wasijue cha kufanya.

Wakati ukuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe alishindwa kujua when and where to stop..kakimbia kapitiliza nyumbani.
Mwamba chombo kimemshinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Yan mbowe chadema ikichukua NCH atanenepa mpaka apasuke mada ni bonge pa mpiga dil

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa kwamba bado mnasapoti utawala wa miaka 60 wa ccm na huku wengi wenu mkiwa maskini mnaolipwa na ccm wakati wa msimu wa uchaguzi. Jifikirieni nyie watu, tena wengi wenu mnatokea mikoa maskini zaidi nchi.
 
jikite kwenye hoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom