Mbowe jikaze na uyasikilize haya yatakuponya

Nkerejiwa

Senior Member
Feb 25, 2014
146
214
MBOWE JIKAZE NA UYASIKILIZE HAYA YATAKUPONYA

Nimekaa nikasubiri kwanza kuona ni hatua Gani utachukua kamanda wangu Mwenyekiti wa CDM Taifa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzai Bungeni Mh. Freeman Aikaeli Mbowe baada ya Tukio la Wananchi wa Wilaya ya Hai kuuliza Maswali Magumu na kupelekea Mkutano wako kuvunjika. Ni kweli inaumiza sana Mwenyekiti wa Chadema Taifa Kudhalilika namna ile. Inaonekana ni Tukio la kwanza na la aina yake ambalo limetokea katika Eneo ambalo unaamini ndio ufalme wako ulipo,

Jana katika Mkutano wako ulishtushwa na tukio lile na ukasema Wananchi wale wametoka Eneo jingine na sio wa kijiji kile. Lakini kumbuka wewe ni Mbunge wa Hai Jimbo lenye jumla ya vijiji 64, na Umefanya mikutano minne tu katika vijiji vinne. Inawezekana wananchi wa vijiji 60 ambavyo hujavifikia walikusubiri kwa Hamu sana ili wakwambie maneno hayo lakini walipogundua huo ni Mkutano wako wa Mwisho kwenye Ratiba wakaamua kukufuata hapo ulipo. Sababu tu Unapotangaza Mkutano wananchi wa Jimbo lako wana haki ya kuhudhuria bila kujali ni wa kijiji kipi.

Hoja ya picha za wananchi waliovaa mavazi ya ccm ni hoja dhaifu kuitumia katika utetezi. Hivi leo tukitaka picha ya Lema amevaa nguo ya TLP tutaipata, Au tukitafuta picha ya Muasisi wa chama cha chadema Ambaye ni Baba Mkwe wako Mzee Mtei akiwa kavaa nguo ya CCM tutaipata sababu tu tunaishi ndani ya uhuru wa kidokrasia unaweza amka Asubuhi na ukahama chama bila kuzuiwa. Ndio maana leo ukikutana na Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vincent Mashinji utamkuta kavaa nguo ya CCM na sio Chadema.Hii hoja naiita dhaifu sababu hata hao wana CCM wanaoishi Hai wewe ni Mbunge wao.

Timu yako inayokusaidia kujibu hoja mitandaoni inazidi kukupoteza Muelekeo na kuonesha kuwa umeshindwa kuzijibu hoja za wananchi wako.

Ungejikita kusikiliza zile hoja zao na kuzijibu kwa Data na Ukweli ingeonekana hoja zao hazina maana na leo ningeendelea kukuona kama Mwanasiasa Makini wa Karne hii.
*MFANO*
*_Kuna mwananchi anaonekana kwenye Video akiuliza wewe umekua ukiwaeleza habari za Tundu lisu kupigwa Risasi, Kwani lini utakuja kuhusisha upigwaji wa Tundu lisu risasi na Zahanati ambayo uliahidi kuwaletea, Ungejibu tu hilo swali kweli ingeoneksna wale wananchi wametumwa._*

Unaposema kwamba Rais Magufuli anawanyanyasa watu wa kanda ya Kaskazini Mwananchi akakuuliza *_Rais huyo unayesema anawanyanyasa amewaletea Reli kutoka Dar mpaka Arusha na huyo mwananchi amepanda hiyo treni_* ulichopaswa ni kutoa Majibu Je ni sahihi huyo Mwananchi anachosema ni kweli au si kweli? Kisha Mwingine akauliza

*_Tuambie jambo Moja ambalo umefanya toka uchaguliwe kuwa mbunge wao_*

Majibu yalikua Rahisi sana kama kweli umefanya ungetoa Majibu tu.

Kitu ninachoamini Mbowe wewe ni Mwanasiasa ambaye uliamini Hai hakuna wa kukuuliza swali lolote linalopingana na wewe huku ukiwa umesahau kuwa Tupo katika kizazi cha kuhoji kuliko kile cha Mwanzo chenye ukimya. Tukio lililokutokea jana limekua kama Sindano ya Moto na sasa timu yako inataka kuaminisha watu kiwa wale watu wametengenezwa wakati kihalisia ukiwasikiliza walikua wanahoji Maswali ya Msingi na hoja zao zilikua na Maana.

Ni sawa kama wametengenezwa au hawajatengenezwa wale wananchi walikua na Maswali ya Msingi sana na Sura zao zilikua na ghadhabu huku zikimaanisha kile wanachozungumza ambacho kwa mtu wa kawaida aliyepangwa asingeweza kulifanya kwa jinsi walivyoonekana kwa uhalisia ule. Na Unapaswa ujitafakari zaidi kama wale watu wote walikua wanapiga kelele waliletwa kama unavyosema basi Mkutano wako ulikua na Idadi ndogo ya watu kiliko mikutano yako yote iliyopita.

Kuna Mwananchi alikuuliza *_Kwa miaka minne kwanini hujawahi kuja jimboni_* Sio kuwambia ulikua unaenda Mahakamani sababu kwenda mahakamani hakuna mahusiano na Sababu za wao kukuchagua kuwa mbunge wao.Na walikuuliza *_Kati ya hayo unayoenda Mahakamani ni yapi yanahusiana na jimbo la hai?_*

Hizi hoja zao zilipaswa kupata Majibu ya Msingi kutoka kwa watu wanaokujibia mtandaoni kuliko kuanza kutukana na kudhalilisha wapiga kura wako kwa kuwaita Walevi wakati hao ndio walipanga Mstari kukupigia kura Mwezi Oktoba 2015.

Nakushauri ukae kwa utulivu na kutafakari kwa Makini hoja za wananchi wako iwe ni wana CCM, wana CHADEMA, TLP, CHAUMA, UDP, CUF, ACT au wasio na chama na kuzipatia majibu ili kuweza kurudisha imani na heshima yako pale Hai.

Hoja za kazi ya Kitaifa na kuacha jimbo ni majibu ambayo wanaonekana wameyachoka na sasa wanahitaji kukuona ukitekeleza wajibu wako.

Nimalize kuwa kukung'ata sikio
_Inawezekana kama unavyosema Sabaya ndiye MasterMind wa hili tukio au asiwe yeye, Lakini jambo kubwa unatakiwa uwe tahadhari nalo kuhusu huyo Sabaya ni kwamba hizi ndio ligi zake, Kwahiyo wewe uachopaswa kufanya ni kuwa Makini kwa Siasa unazopeleka Hai sababu huyu Ole Sabaya kwa hulka na tabia hatokubali kazi kubwa zinazofanywa na Rais Magufuli na anazozifanya yeye mwenyewe hai zipotoshwe kwa siasa za bei rahisi, Athari zake ni kuzuia zile siasa za Zamani za Kikamanda na siasa za kihuni ziingie Wilayani Mwake na huyo Atakuchonganisha na wananchi maana yeye kwa hulka na Tabia ni muumini wa siasa tata na ngumu. Nakushauri Badilisha Muelekeo na Aina ya Siasa zako unapokua Jimboni._

Si unajua usemi unaosema

*UKIMUAMSHA ALIYE LALA?.…..*

Jitafakari

Ni Mimi
Mwanaharakati Huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ile ya awamu za Mkapa na Kikwete kaka Mbowe alikuwa anaandika makala katika gazeti la Tanzania Daima, ni miaka mingi imepita na waliokuwa bado ni watoto wadogo kwa sasa ni watu wazima.

Ingetegemewa kumuona Kaka Mbowe akiweza kuzisoma alama za nyakati na kubadilika kuendana na wapiga kura wake wa miaka ya sasa ambao hawakuziona na hawazijui makala zake za siku zilizopita.

Kuna haja kwa wanasiasa wa nchi hii kutozikariri akili za watu wanaokuwa wanawasikiliza majukwaani, muda unapopita na hata aina ya ufikiriaji na ujengaji wa hoja pamoja na uelewa, vinakuwa ni vitu vyenye kubadilika pia.
 
Ukijaribu kuangalia wale waliokuwa wanalalamika ni mapandikizi ya sabaya na ccm na si wananchi wote wa hai wanamalalamiko kama hayo.
Mbaya zaidi mpiga picha alikuwa tayari kaandaliwa na aliwahoji watu walioandaliwa kama yeye.
 
Hii biashara kichaa bado mna copy & paste mpaka leo?!

Unavyomtaka Mbowe aseme alichowafanyia watu wa Hai kwani huwa anakusanya kodi? unataka atoe pesa mfukoni kwake ajenge barabara? nyie raia kweli mna allergy na Mbowe, kuanzia m/kiti wenu mpaka nyie mijusi.

Eti Mbowe ni nini amewafanyia Hai? mbona swali la kijinga sana!.

Najua hamumpendi sana Mbowe mmejaribu kummaliza kwa risasi mmeshindwa, mmemuharibia mali zake bado hamjaridhika, nyie ni mashetani tu, but tafuteni namna nyingine ya kumbana Mbowe sio kwa hivyo vi-swali vya kukaririshwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MBOWE JIKAZE NA UYASIKILIZE HAYA YATAKUPONYA

Nimekaa nikasubiri kwanza kuona ni hatua Gani utachukua kamanda wangu Mwenyekiti wa CDM Taifa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzai Bungeni Mh. Freeman Aikaeli Mbowe baada ya Tukio la Wananchi wa Wilaya ya Hai kuuliza Maswali Magumu na kupelekea Mkutano wako kuvunjika. Ni kweli inaumiza sana Mwenyekiti wa Chadema Taifa Kudhalilika namna ile. Inaonekana ni Tukio la kwanza na la aina yake ambalo limetokea katika Eneo ambalo unaamini ndio ufalme wako ulipo,

Jana katika Mkutano wako ulishtushwa na tukio lile na ukasema Wananchi wale wametoka Eneo jingine na sio wa kijiji kile. Lakini kumbuka wewe ni Mbunge wa Hai Jimbo lenye jumla ya vijiji 64, na Umefanya mikutano minne tu katika vijiji vinne. Inawezekana wananchi wa vijiji 60 ambavyo hujavifikia walikusubiri kwa Hamu sana ili wakwambie maneno hayo lakini walipogundua huo ni Mkutano wako wa Mwisho kwenye Ratiba wakaamua kukufuata hapo ulipo. Sababu tu Unapotangaza Mkutano wananchi wa Jimbo lako wana haki ya kuhudhuria bila kujali ni wa kijiji kipi.

Hoja ya picha za wananchi waliovaa mavazi ya ccm ni hoja dhaifu kuitumia katika utetezi. Hivi leo tukitaka picha ya Lema amevaa nguo ya TLP tutaipata, Au tukitafuta picha ya Muasisi wa chama cha chadema Ambaye ni Baba Mkwe wako Mzee Mtei akiwa kavaa nguo ya CCM tutaipata sababu tu tunaishi ndani ya uhuru wa kidokrasia unaweza amka Asubuhi na ukahama chama bila kuzuiwa. Ndio maana leo ukikutana na Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vincent Mashinji utamkuta kavaa nguo ya CCM na sio Chadema.Hii hoja naiita dhaifu sababu hata hao wana CCM wanaoishi Hai wewe ni Mbunge wao.

Timu yako inayokusaidia kujibu hoja mitandaoni inazidi kukupoteza Muelekeo na kuonesha kuwa umeshindwa kuzijibu hoja za wananchi wako.

Ungejikita kusikiliza zile hoja zao na kuzijibu kwa Data na Ukweli ingeonekana hoja zao hazina maana na leo ningeendelea kukuona kama Mwanasiasa Makini wa Karne hii.
*MFANO*
*_Kuna mwananchi anaonekana kwenye Video akiuliza wewe umekua ukiwaeleza habari za Tundu lisu kupigwa Risasi, Kwani lini utakuja kuhusisha upigwaji wa Tundu lisu risasi na Zahanati ambayo uliahidi kuwaletea, Ungejibu tu hilo swali kweli ingeoneksna wale wananchi wametumwa._*

Unaposema kwamba Rais Magufuli anawanyanyasa watu wa kanda ya Kaskazini Mwananchi akakuuliza *_Rais huyo unayesema anawanyanyasa amewaletea Reli kutoka Dar mpaka Arusha na huyo mwananchi amepanda hiyo treni_* ulichopaswa ni kutoa Majibu Je ni sahihi huyo Mwananchi anachosema ni kweli au si kweli? Kisha Mwingine akauliza

*_Tuambie jambo Moja ambalo umefanya toka uchaguliwe kuwa mbunge wao_*

Majibu yalikua Rahisi sana kama kweli umefanya ungetoa Majibu tu.

Kitu ninachoamini Mbowe wewe ni Mwanasiasa ambaye uliamini Hai hakuna wa kukuuliza swali lolote linalopingana na wewe huku ukiwa umesahau kuwa Tupo katika kizazi cha kuhoji kuliko kile cha Mwanzo chenye ukimya. Tukio lililokutokea jana limekua kama Sindano ya Moto na sasa timu yako inataka kuaminisha watu kiwa wale watu wametengenezwa wakati kihalisia ukiwasikiliza walikua wanahoji Maswali ya Msingi na hoja zao zilikua na Maana.

Ni sawa kama wametengenezwa au hawajatengenezwa wale wananchi walikua na Maswali ya Msingi sana na Sura zao zilikua na ghadhabu huku zikimaanisha kile wanachozungumza ambacho kwa mtu wa kawaida aliyepangwa asingeweza kulifanya kwa jinsi walivyoonekana kwa uhalisia ule. Na Unapaswa ujitafakari zaidi kama wale watu wote walikua wanapiga kelele waliletwa kama unavyosema basi Mkutano wako ulikua na Idadi ndogo ya watu kiliko mikutano yako yote iliyopita.

Kuna Mwananchi alikuuliza *_Kwa miaka minne kwanini hujawahi kuja jimboni_* Sio kuwambia ulikua unaenda Mahakamani sababu kwenda mahakamani hakuna mahusiano na Sababu za wao kukuchagua kuwa mbunge wao.Na walikuuliza *_Kati ya hayo unayoenda Mahakamani ni yapi yanahusiana na jimbo la hai?_*

Hizi hoja zao zilipaswa kupata Majibu ya Msingi kutoka kwa watu wanaokujibia mtandaoni kuliko kuanza kutukana na kudhalilisha wapiga kura wako kwa kuwaita Walevi wakati hao ndio walipanga Mstari kukupigia kura Mwezi Oktoba 2015.

Nakushauri ukae kwa utulivu na kutafakari kwa Makini hoja za wananchi wako iwe ni wana CCM, wana CHADEMA, TLP, CHAUMA, UDP, CUF, ACT au wasio na chama na kuzipatia majibu ili kuweza kurudisha imani na heshima yako pale Hai.

Hoja za kazi ya Kitaifa na kuacha jimbo ni majibu ambayo wanaonekana wameyachoka na sasa wanahitaji kukuona ukitekeleza wajibu wako.

Nimalize kuwa kukung'ata sikio
_Inawezekana kama unavyosema Sabaya ndiye MasterMind wa hili tukio au asiwe yeye, Lakini jambo kubwa unatakiwa uwe tahadhari nalo kuhusu huyo Sabaya ni kwamba hizi ndio ligi zake, Kwahiyo wewe uachopaswa kufanya ni kuwa Makini kwa Siasa unazopeleka Hai sababu huyu Ole Sabaya kwa hulka na tabia hatokubali kazi kubwa zinazofanywa na Rais Magufuli na anazozifanya yeye mwenyewe hai zipotoshwe kwa siasa za bei rahisi, Athari zake ni kuzuia zile siasa za Zamani za Kikamanda na siasa za kihuni ziingie Wilayani Mwake na huyo Atakuchonganisha na wananchi maana yeye kwa hulka na Tabia ni muumini wa siasa tata na ngumu. Nakushauri Badilisha Muelekeo na Aina ya Siasa zako unapokua Jimboni._

Si unajua usemi unaosema

*UKIMUAMSHA ALIYE LALA?.…..*

Jitafakari

Ni Mimi
Mwanaharakati Huru

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetoa hoja kuntu jamiiforum inawaitaji watu wa aina yako hapa ilikuipa heshima jamiiforum ila nowdays humu jamvini imejaa misukule wengi great thinkers wachache
 
kamshauri kwanza Magu
 
Mkuu umeandika sana lakini ujue kuwa vijiji 64 haimaanishi kuwa wote ni chadema. Hivyo kama ungejiongeza kidogo tu unheliona hilo. Ila pia hutaki tu kujipa majibu kuwa siasa za pale zimevamiwa

mjinga kabisa wewe
akili yako inakutuma kabisa kuwa mbowe ajenge zahanati au reli
hizo ni kazi za mbunge
 
Mtu yoyote akikosoa chadema amenunuliwa?

Dk Slaa aliwakosoa chadema akawahoji hao mnaopokea ni asset au liability? Akaambiwa ni Dk mihogo amenunuliwa na ccm lakini leo Mbowe na wazee wa chadema wanajuta hadharani kupokea pokea wanachama hovyo.
Chadema badala ya kujibu hoja za Mbatia wanajificha kwenye kichaka cha amenunuliwa na ccm!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipotoshe unajifanya umejitoa ufahamu nani alikwambia kujenga hospitali ni kazi ya mbunge? Unashangaza kama wale wachache waliovamia mkutano na kuja na madai ya ovyo kwa mbunge na kumbe hawajui kazi ya kujenga mahospitali na mabarabara na mabomba ya maji ni serikali inayokusanya kodi ya maendeleo na hayo ndiyo maendeleo acheni maneno ya uchochezi mtatuchafulia nchi
 
Kama ni hivyo chadema hawafai wabunge wao kuchaguliwa kwenye uchaguzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom