Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 9,861
- 19,756
Punguza utoto..... Lissu lini kawa mtetezi wa mashoga? Yeye alichokiongea ni kwamba privacy za watu ziheshimiwe na serikali inapeleka muswada bungeni ku seal hiyo sheria ya kulinda privacy ili kuepuka stalkers na surveillance kwa personal life ya mtu!! Je nao wana support ushoga?
Tafuteni mambo ya msingi.... Tatizo lenu hamuoni udhaifu wa kiutendaji wa Lissu hana ufisadi wala skendo so mnateseka pa kumkamatia mmekosa. Aliyetaka kumuua ndio ametangulia
Mungu ni mkubwa
On a serious note: Unajua appointment ya huyo mwenzio kwa sasa!??? Hata kama huna smatifoni, basi waulize japo majirani zako, sawa!???