š¤£
Huko juu kuna comment umeandika "Vita imeanza"....
Nimekujibu kwa kukuuliza ,je hiyo Vita ndio "endless demostrations to topple the regime"?!!!
Mh.Rais alisisitiza kuongea nanyi....
Alianza vyema kwa chombo cha mahakama KUWATOA NJE UAMSHO....JK na JPM hawakufanya hayo.....
Alianza vyema kwa chombo cha mahakama kumtoa NDANI MDUDE NYAGALI na Mh.Mbowe kuwa HURU na milioni 300 kuzitia "kibindoni".....
Hamkuwa na "timing nzuri".....
Sasa nyiye mnapotangaza hiyo "Vita" wenzenu WAWAPIGIE MAKOFI YA KUWAPONGEZA?!!!
#NchiKwanza
#SerikaliMbiliMilele
#KaziIendelee
Bwana Jumbe Brown tusiwekeane maneno mdomoni au kuchukua nukuu nje ya mada kutengeneza mlima kutokea kusipokuwapo. Ni kwa sababu hiyo huwa tunakuwa na ujasiri wa kawafunda wenzetu wengine.
Nimepitia comments zote sipaoni popote nilipoandika "vita" wala kumaanisha "vita" wala demonstrations achilia mbali unazoita wewe endless demonstrations.
Ustaarabu wetu unajulikana kuwa ukiombwa ushahidi unaleta ushahidi. Ukiukosa unatengua kauli.
Ninakazia, yako haya hapa chini in blue si kweli na haijulikani unayaokota wapi:
Huko juu kuna comment umeandika "Vita imeanza"....
Nimekujibu kwa kukuuliza ,je hiyo Vita ndio "endless demostrations to topple the regime"?!!!
Tukubaliane hapa kuwa Chadema inafanya shughuli zake kwenye mipangilio yake. Chadema inauelewa uwanja huo vilivyo. Haijastushwa na lolote hadi sasa.
Kimsingi Chadema iko vizuri.