Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

Ulitaka huo muda uwe ndani ya miezi minne hii? Si angalua wangeanza ku doubt huo muda baada hata mwaka mmoja. Haya wamefika wapi sasa hivi. Kila mmoja anawaona chadema wamefanya wrong calculations
Upande mmoja kuna matakwa ya kiongozi na upande wa pili matakwa ya kikatiba.
Nini kinatakiwa kukiishi kati ya hivi viwili?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbowe mwenyewe alijichaganya hapo kumjaribu mama ona sasa yuko jela CDM imepoteana. CDM waje na mipango mipya ya kufanya siasa na kutoa hamasa pia kuepuka clashes na dola na kuwa jela kumewapotezea focus
Wanachama wote wa chadema walijifanya kuwa uwezo zaidi ya mama
 
Back
Top Bottom