Mbowe: Hatutapinga kila jambo, Rais Magufuli anafungwa mikono na Kamati Kuu ya CCM

Nilimsikia mbowe alivyokua anahojia na mwandishi yule kwa kweli niliona kma vile kapoteza kumbukumbu
Unaweza kumtofautisha. Muhongo na lowasa?

Au mwakyembe na sumaye ujinga uluopitiliza ni nyumbu tu ndio anaweza kubaliana nae
 
Unapouliza elimu. Unamanisha kusoma hadi kiwango gani au elimu ya kuwa na maarifa?
 
Muulizeni mbowe anayepinga uteuzi wa Mwakyembe, Lowassa amefanya Madudu Mangapi? Mbona leo wamemkumbatia?

Huujui ukwli uliyojificha, ww kamuulize JPM Lowassa ana ubaya gani mbona kwake si jipu atakupa majibu ya kina.
 
Ni kweli, Tangu Magufuli amekutana na kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi,..... biashara imekwisha!![/QUOTE

Uhakika wangu ni kwamba kulikua na kauli nyingi sana za kuombea maji (kura) ambazo hazitatekelezwa asilani abadani. Hata wakijaribu wataishia njiani, hii ndo siasa bana, Ila cha muhimu ni kufanya yaleyanayowezikana kwa umakini ili kuziba pengo la hayo yatakayoshindikana. Hatutaping ayoooote ila yale ya ovyo na ukurupukaji.
 
Mbowe ana elimu gani mpaka awe think tank wa ukawa?

Wewe mwenye elimu una nini? Una-impact gani kwenye jamii yako

Hata aliyekuwa mfanyakazi wa ndani joyce kiria humfikii kwa chochote seuse Bilionea Mbowe?

Elimu yako imekupeleka wapi?zaidi ya kujificha nyuma ya keyboard?
 
Mimi Namshangaa Kwanini Bado Mpaka Sasa Yupo Huko CHADEMA Wakati Uwezo Wake Wa KUFIKIRI Na KUCHAMBUA Mambo ALIPASHWA Kuwepo CCM. Ila Nina Imani Siku Si Nyingi Freeman Mbowe Atarudi Nyumbani CCM. Nipo CCM, Ni Mwana CCM Tena Wa KUTUKUKA Na Nikiri Kwa Kusema Huyu Jamaa Yupo Vizuri KICHWANI Na NINAMKUBALI KUNAKOTUKUKA Na Huwa Navutiwa Mno Na Aina Yake Ya CONFIDENCE Ambayo Inamzidi Hata Aliyekuwa Mgombea Urais Wake Na Yule MPAYUKAJI Mwingine Aliyekuwa Waziri Mkuu Huku Akiwa Na Diploma Ya Kupalilia Mashamba SUA.

Kumpeleka ccm utakua ni mzaha na mchezo wa kombolela. Kamanda ni wetu na tunapanda kila kukicha licha ya changamoto za hapa na pale.
 
Lowasa asikosolewe kama ni mkosaji apelekwe mahakamani,acheni kujadili MTU bila tija

Huo ndo ukweli mtupu usiyo na -----, kama ni jipu kwani JPM halioni?????? Lowassa ni halali yetu daima, na kiwango cha uvumilivu wake ni zaidi ya terabite millioni
 
Huu ni wakati wa Upinzani kuonyesha weledi wao. Kuwa Chama cha Upinzani siyo kupinga kila kitu kinachofanywa na Serikali.
Mbowe ni wakati wa kuwaweka chini Wabunge na Madiwani wa CHADEMA na kuwapa mipango-mikakati ya miaka mitano ijayo. Siasa ambazo hazijengi-Lema na Viongozi wa Serikali mkoani, Kubenea na Mkuu wa Wilaya- waachane nazo.
Lazima tutambue kuwa hawa jamaa wana maelekezo mahsusi ya kuhakikisha Upinzani unachelewa kufanya chochote.
Wapewe mbinu za kutambua mitego wanayotegewa. Lakini sisemi kuwa wakionewa wasichukue hatua..

Baba Mbowe atakua amekusoma vya kutosha mkuu.
 
Wakati mwingine viongozi wetu wafikirie basi kwa kutumia kichwa,hivi ukiteuliwa na ukavurunda kwenye kazi anayewajibika ni aliyekuteuaaa au wewe uliyeteuliwa?!

Mbona tunataka kuweka siasa siasa tu kwenye kila jambo?!,Dk Mwakyembe aliteua akamaliza akakabidhi watu kazi wameharibu sasa lao Mwakyembe ndiye aonekane mbaya??!.
 
Si vema kua na maswali meengi ya kitoto wakati hata akisimama tu wooote wanakaa. Ukitaka kujua yuko juu mwandalie interview na jpm uone nani yuko juu.

Rais hawezi kuandaliwa interview pamoja na Mwenyekiti wa CHADEMA, saizi yake ni akina Hashim Rungwe, Fahmi Dovutwa na wengineo maana hata Mwenyekiti wa CCM (JK) si saizi yake.
 
mimi naona bado harufu ya choo walichohamishia chumbani bado inawasumbua

Nadhani bado mdomo wako ni mchafu ndo maana unakosa weledi kwenye majibu yako. Hujaona ya jpm kumrudisha msema ovyo ee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakati mwingine viongozi wetu wafikirie basi kwa kutumia kichwa,hivi ukiteuliwa na ukavurunda kwenye kazi anayewajibika ni aliyekuteuaaa au wewe uliyeteuliwa?!

Mbona tunataka kuweka siasa siasa tu kwenye kila jambo?!,Dk Mwakyembe aliteua akamaliza akakabidhi watu kazi wameharibu sasa lao Mwakyembe ndiye aonekane mbaya??!.

Ntale WABHEJASANA shiku nyingi utigelaga kwijukwaa lya wigushi, shokaga tukumilije Yanga yise iyo ilibhulaga munhu i lelo!
 
Last edited by a moderator:
Akihojiwa na Azam TV, Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa wao kama wapinzani hawatapinga kila jambo litakalokuwa linafanya na Serikali ya awamu ya tano.

Amesema kazi yao ni kuisimamia Serikali, watakuwa wanapinga kwa hoja za msingi, pia amesema baadhi ya mambo ambayo wao wameyapigia kelele kwa miaka mingi vinatekelezwa sasa na Rais Magufuli, japokuwa sio kwa usahihi.

Amepinga teuzi mbili katika baraza la Mawaziri, amepinga uteuzi wa Waziri wa Katiba na Sheria na uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo.

Amesema kuwa Dkt. Mwakyembe anahusika na madudu ya bandarini na Bodi ya Bandari iliyovunjwa na Rais Magufuli kwa asilimia kubwa iliteuliwa na Dkt. Mwakyembe.

Pia amesema Prof Muhongo alijiuzulu kwa shinikizo la maazimio ya Bunge, inashangaza anateuliwa hata kabla ya mwaka kukamilika tangu awajibishwe na Bunge.







Ha ha ha mbowe mburula kweli kwahiyo sasa wanekubali kuwa magufuli ni rais halali sio?
 
Last edited by a moderator:
prof muhongo ni mtaji kwa taifa hili hatutaki siasa zenu za kudanganya umma, prof ni mtu smart sana kwenye kazi na atasaidia nchi kusonga mbele

Ni kweli kabisa mhongo ni mtaji wa taifa na pia ni muokozi wa Tanesco na mtetezi wa wananchi
Waziri amabaye ni mfukunyuaji wa madudu yanayofanywa taneso na mambo amaboyo yanalitia hasara shirika kila kikicha
Sasa watu ambao wanaona dili zao zinafia kwake ndo wasiomtaka kwa visingizio kila kukicha mungu amlinde na hao wajinga wachache
 
Rais hawezi kuandaliwa interview pamoja na Mwenyekiti wa CHADEMA, saizi yake ni akina Hashim Rungwe, Fahmi Dovutwa na wengineo maana hata Mwenyekiti wa CCM (JK) si saizi yake.

Hizi nazo ni hisia za kufukuza upepo maana hata kwa wenzetu walioendelea lazima wakwao wapimwe na mengi na hili likwa mojawapo, we hujui tu kwa nini jpm alikacha interview ya bbc. Chunguza sana busara zake katika majibu na kauli kwa ujumla ndo utajua namaanisha nini.Au rudia majibu yake kwa wandishi wa habari siku ya kutangaza baraza lake la mawaziri ndo utajua tu.
 
Back
Top Bottom