Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,408
- 25,926
Lumumba buku 7 , mnalipwa shilingi ngapi kwa siku ?Akikujibu tu, zawadi yake nitampatia
Lumumba buku 7 , mnalipwa shilingi ngapi kwa siku ?Akikujibu tu, zawadi yake nitampatia
Tume gani itakutangaza Mbowe?Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani, Mbowe anasema stage ya kuwa chama kikuu cha Upinzani wameshaipita wanaingia kwenye uchaguzi mkuu kutafuta kushika dola.
"Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama kikuu cha upinzani, sisi ni Chama kikuu cha upinzani, tunakwenda kwenye Uchaguzi kutafuta dola. Hivyo vyama vingine vinakwenda kutafuta wabunge na madiwani" M/kiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz.
Kama kuandika na kuposti ndio kulipwa, Anza wewe kusema unalipwa bei ganiLumumba buku 7 , mnalipwa shilingi ngapi kwa siku ?
Mimi nalipwa buku kwa siku.Kama kuandika na kuposti ndio kulipwa, Anza wewe kusema unalipwa bei gani
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani, Mbowe anasema stage ya kuwa chama kikuu cha Upinzani wameshaipita wanaingia kwenye uchaguzi mkuu kutafuta kushika dola.
"Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama kikuu cha upinzani, sisi ni Chama kikuu cha upinzani, tunakwenda kwenye Uchaguzi kutafuta dola. Hivyo vyama vingine vinakwenda kutafuta wabunge na madiwani" M/kiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz.
Tume gani itakutangaza Mbowe?
Duuh mkuu umenikumbusha YESU wa kamanda LUGOLA.Asante Yesu wa chadema Mbowe
Mkuu, pole, lakini ndio sehemu ya kujipatia ridhiki pia, Mimi buana silipwi chochote! Na sina mkataba na Chama chochote, Ila kuna Wakati nafanyaga ili kulipiza tu mihasira ya 2015 jinsi Mbowe alinivuruga Mie,Mimi nalipwa buku kwa siku.
Wewe unalipwa kiasi gani ?
Bali mnaenda kufanya nini?!
Tume Huru ipo wapiKushika dola ndio nini?
Mmejipanga kweli?
Bora uanze kujiuza huna thought zozote umejawa na umesikini wa fikra wewe bikra wa maendeleoBali mnaenda kufanya nini?!
Tume Huru ipo wapi
Kushika dola ndio nini?
Mmejipanga kweli?
Upinzani kuweni serious msifanye mambo kwa mazoea
Vyama vya upinzani 20 hamuelewani mtawezaje kushinda?
My thought....
Bashiru fomu yao ya urais imeandikwaje?Badala ya kutafuta Tume huru ya uchaguzi yeye anatafuta Dola.......Bure kabisa!
Utakuwa ushakufa na mavi yako yatakuwa yameshaisha vyoo vyote ulivyowahi kuvinyeaHiyo dola wataisikilizia kwenye bomba na nshawaambia hapa upinzani kuchukua nchi mpaka 2300
Kuwa Mpinzani kwa Afrika kubali yote ikiwemo kufa kabisa ili mradi umejitoa kizazi chako kipone