Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mhe. Freeman Mbowe amesema, kuna baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa hasa wanaCCM wanasema tuachane na Urais tujiandae kwa Ubunge na Udiwani, Mbowe anasema stage ya kuwa chama kikuu cha Upinzani wameshaipita wanaingia kwenye uchaguzi mkuu kutafuta kushika dola.
"Hatuendi kwenye uchaguzi kuomba kuwa Chama kikuu cha upinzani, tayari sisi ni Chama kikuu cha upinzani, tunakwenda kwenye Uchaguzi kutafuta dola. Hivyo vyama vingine vinakwenda kutafuta wabunge na madiwani" M/kiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz.