Mbowe: Hakuna Mwenye Ubavu wa Kuiyumbisha CHADEMA

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
834
140
Awali ya yote nipende Kuwashukuru sana Wanachama, Wafuasi na Wakereketwa Wetu wa Chadema Kote Nchini, Wakazi Wa Jiji la Mwanza na Wasomi wa Vyuo Vikuu Kwa Wingi wenu Unaotupa Moyo sisi Kama Viongozi ili 2endelee Kuchapa Kazi Kwa Misingi ya Haki na Usawa Kwa Kuifuata Katiba ya Chama chetu! Ndg zangu Ipo Dhana ya Udini, Ukabila na Ukanda ya Muda Mrefu Inayoenezwa na Watu wa Chama Cha Magamba ili Kuwapotosha, Lakini napenda Kuwahakikishia Kwamba CHADEMA Ipo Imara na hakuna Mtu atakayedhubutu Kuiyumbisha Chadema na Akitokea hana Chake ndani ya Taasisi hii. Mimi Mbowe Kwa Gharama yoyote Ile nitahakikisha Kwa pamoja 2naivusha Salama Taasisi Katika Vipindi hivi Vya Mpito hatimaye Kutimiza Lengo la Kuwakomboa Wanyonge Wanaoshinda Kwa Mlo Mmoja Kwa Zaidi ya Kutwa Mbili huko Vijijini na Mijini. Kuna Watu Wameumia, Kuna Watu Wamepararaizi, Kuna Watu Wamekufa wengine Wamefia Mikononi mwetu, Kuna Watu Wanasota Jela, Kuna Watu Wamefilisiwa, Kuna Watu Wametumia Mali zao nyingi, Kuna Wamejeruhiwa n.k Kwa Kuijenga Chadema
 
CHADEMA itamkomboaje mnyonge anayeishi kwa mlo mmoja ilihali yenyewe tu kukaguliwa mahesabu ya ruzuku wanaochukua huko CCM ni vita kubwa?

Endeleeni kudanganyika!
 
Nifurahi kusikia 2014 nguvu ya cdm inaamishiwa kutafuta usawa wa jinsia ( gender), wakilebgwa wanawake zaidi. Juhudi za kuonesha cdm si wadini nazozizidishwe zaidi.
 
Awali ya yote nipende Kuwashukuru sana Wanachama, Wafuasi na Wakereketwa Wetu wa Chadema Kote Nchini, Wakazi Wa Jiji la Mwanza na Wasomi wa Vyuo Vikuu Kwa Wingi wenu Unaotupa Moyo sisi Kama Viongozi ili 2endelee Kuchapa Kazi Kwa Misingi ya Haki na Usawa Kwa Kuifuata Katiba ya Chama chetu! Ndg zangu Ipo Dhana ya Udini, Ukabila na Ukanda ya Muda Mrefu Inayoenezwa na Watu wa Chama Cha Magamba ili Kuwapotosha, Lakini napenda Kuwahakikishia Kwamba CHADEMA Ipo Imara na hakuna Mtu atakayedhubutu Kuiyumbisha Chadema na Akitokea hana Chake ndani ya Taasisi hii. Mimi Mbowe Kwa Gharama yoyote Ile nitahakikisha Kwa pamoja 2naivusha Salama Taasisi Katika Vipindi hivi Vya Mpito hatimaye Kutimiza Lengo la Kuwakomboa Wanyonge Wanaoshinda Kwa Mlo Mmoja Kwa Zaidi ya Kutwa Mbili huko Vijijini na Mijini. Kuna Watu Wameumia, Kuna Watu Wamepararaizi, Kuna Watu Wamekufa wengine Wamefia Mikononi mwetu, Kuna Watu Wanasota Jela, Kuna Watu Wamefilisiwa, Kuna Watu Wametumia Mali zao nyingi, Kuna Wamejeruhiwa n.k Kwa Kuijenga Chadema

Mkuu Gamba Sugu, Ziara ya Lipumba Singida upo na hii ya Mbowe Mwanza pia ulikuwepo?

Mbona unajichanganya sanaaa
 
Hongera chadema, bila CDM hakuna matumaini tena hapa nchini, tuko pamoja tukisubiri hilo sanduku la kura 2015 Magamba tuyamalize
 
Lumumba wazee wa Sembe, mihadarati na meno ya Tembo.

Dk. Slaa: Tukish ika dola tutaruhusu utengenezaji pombe ya gongo

Saturday, 14 December 2013 · Posted in OMG, Siasa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mpya baada ya kueleza kuwa kitakapofanikiwa kushika dola kitaruhu Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO) kutengeneza mitambo ya kutengenezea pombe aina ya gongo. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Willbroad Slaa, akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kasulu Vijijini alisema kama gongo itatengenezwa kwa mitambo maalum itaondoa mianya ya rushwa kwa polisi ambao wamekuwa wakiwakamata wanaotengeneza kwa kificho na kuwafanya vitega uchumi vyao.

"Gongo sasa hivi ni haramu sababu inatengenezwa kwa kificho katika mazingira machafu, tukishika dola tutataka SIDO itengeneze mitambo ya kutengeneza gongo ili iwe katika hali ya usafi," alisema.

Mitambo hiyo itakayotengenezwa na SIDO itakapouzwa itaiingizia mapato serikali pia wauzaji wa gongo watafanya biashara hiyo kwa amani tofauti na sasa ambapo wanaifanya kwa kificho na wakikamatwa fedha zote wananufaika polisi.

Dk. Slaa alisema hata suala la kukamata watu wanaotengeneza silaha linapaswa kuangaliwa upya kwani wanaokamatwa wakifanya kazi hiyo wangekuwa wanashikiliwa kwa muda na baadaye wanapelekwa katika kiwanda cha serikali cha kutengenezea silaha ili watuhumiwa hao wapeleke ujuzi huo huko badala ya kuwafunga jela.

Dk. Slaa alisema matatizo yote yanatokana na wasomi kutofikiri namna ya kuisogea nchi mbele kimaendeleo.

"Nchi hii imelala, imechoka sababu waliopewa madaraka wamelala, wamejisahau hawatambui kuwa wamepewa nafasi hizo ili kuwatumikia wananchi," alisema.
CHANZO: NIPASHE
 
CHADEMA itamkomboaje mnyonge anayeishi kwa mlo mmoja ilihali yenyewe tu kukaguliwa mahesabu ya ruzuku wanaochukua huko CCM ni vita kubwa?

Endeleeni kudanganyika!

Kukagua mahesabu ni sehemu ndogo ya kuonyesha matumizi bora. CCM kama ina ubavu ialike ASASI ZA KIRAIA ziwafanyie "Public Expenditure Trucking System/survey- PETS" nasema kama wana ubavu maana viashiria vipo bayana kwa hata asiye mtaalam kuwa matuwizi ya CCM yana walakini kama matumizi ya fedha wakati wa uchaguzi mf wa ununuzi wa kadi za kupigia kura, rushwa, nk. Mapato yasiyoenda na hali ya viwanja vya mpira. Matumizi ya anasa ktk magari na ofisi za chama. Kutofahamika mali za chama mahali ziliko hasa za miradi ya kitengo cha uchumi-SUKITA. Kutelekeza baadhi ya majengo kuwa magofu, Kuangalia kwa uhalisia Fixed Asset Register ya chama kutakutwa madudu ya kustabisha. Watz wapo smart kwa makaratasi wakati kwa uhalisia ni tofauti. Ajabu hata wakaguzi ukiwakagua utakuta waliyokagua sio halisia sababu rushwa.
 
Awali ya yote nipende Kuwashukuru sana Wanachama, Wafuasi na Wakereketwa Wetu wa Chadema Kote Nchini, Wakazi Wa Jiji la Mwanza na Wasomi wa Vyuo Vikuu Kwa Wingi wenu Unaotupa Moyo sisi Kama Viongozi ili 2endelee Kuchapa Kazi Kwa Misingi ya Haki na Usawa Kwa Kuifuata Katiba ya Chama chetu! Ndg zangu Ipo Dhana ya Udini, Ukabila na Ukanda ya Muda Mrefu Inayoenezwa na Watu wa Chama Cha Magamba ili Kuwapotosha, Lakini napenda Kuwahakikishia Kwamba CHADEMA Ipo Imara na hakuna Mtu atakayedhubutu Kuiyumbisha Chadema na Akitokea hana Chake ndani ya Taasisi hii. Mimi Mbowe Kwa Gharama yoyote Ile nitahakikisha Kwa pamoja 2naivusha Salama Taasisi Katika Vipindi hivi Vya Mpito hatimaye Kutimiza Lengo la Kuwakomboa Wanyonge Wanaoshinda Kwa Mlo Mmoja Kwa Zaidi ya Kutwa Mbili huko Vijijini na Mijini. Kuna Watu Wameumia, Kuna Watu Wamepararaizi, Kuna Watu Wamekufa wengine Wamefia Mikononi mwetu, Kuna Watu Wanasota Jela, Kuna Watu Wamefilisiwa, Kuna Watu Wametumia Mali zao nyingi, Kuna Wamejeruhiwa n.k Kwa Kuijenga Chadema
Wewe ni muongo mzushi na mbabaishaji. Upo chumbani halafu unatoa taarifa za kupotosha jamii.thibitisha hii kitu haraka vinginevyo wanajukwaa wakupuuze maana kwanza hukuwepo mwanza na haya maneno mbowe hakuyazungumza.
 
Back
Top Bottom