Kamanda Francis
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 834
- 140
Awali ya yote nipende Kuwashukuru sana Wanachama, Wafuasi na Wakereketwa Wetu wa Chadema Kote Nchini, Wakazi Wa Jiji la Mwanza na Wasomi wa Vyuo Vikuu Kwa Wingi wenu Unaotupa Moyo sisi Kama Viongozi ili 2endelee Kuchapa Kazi Kwa Misingi ya Haki na Usawa Kwa Kuifuata Katiba ya Chama chetu! Ndg zangu Ipo Dhana ya Udini, Ukabila na Ukanda ya Muda Mrefu Inayoenezwa na Watu wa Chama Cha Magamba ili Kuwapotosha, Lakini napenda Kuwahakikishia Kwamba CHADEMA Ipo Imara na hakuna Mtu atakayedhubutu Kuiyumbisha Chadema na Akitokea hana Chake ndani ya Taasisi hii. Mimi Mbowe Kwa Gharama yoyote Ile nitahakikisha Kwa pamoja 2naivusha Salama Taasisi Katika Vipindi hivi Vya Mpito hatimaye Kutimiza Lengo la Kuwakomboa Wanyonge Wanaoshinda Kwa Mlo Mmoja Kwa Zaidi ya Kutwa Mbili huko Vijijini na Mijini. Kuna Watu Wameumia, Kuna Watu Wamepararaizi, Kuna Watu Wamekufa wengine Wamefia Mikononi mwetu, Kuna Watu Wanasota Jela, Kuna Watu Wamefilisiwa, Kuna Watu Wametumia Mali zao nyingi, Kuna Wamejeruhiwa n.k Kwa Kuijenga Chadema