Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Bila shaka, kila mtanzania anafahamu kwamba mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, ni mwanasiasa asiyeaminika kutokana na tabia yake kutofungamana na sera yoyote, Au upande wowote inapokuja swala la maslahi binafsi. Yeye ni hela tu. Mbowe amewauza watanzania na ndoto zao kutokana na tamaa yake ya fedha.
Kwa wanaofahamu, Freelance ni mwandishi anayeandikia gazeti lolote lile ilimradi atalipwa kwa kazi yake. Kwa maana hiyo, nadiriki kumfananisha Mbowe na freelancer kwa sababu anatumia cheo chake kwa manufaa binafsi. Ilipotea hela za Lowassa, alimsaliti Dr. Na Chadema
Baada ya kuivuruga Chadema na malengo yake
Ya kumchukua dola , tunajiuliza, nini kitakachofuata. je huyu mwanasiasa atabaki naodha wa Chadema Au atangolewa uenyekiti?