ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,029
- 7,278
Katika ukurasa wake wa Facebook, Zitto ameeleza kuwa sekretariet ya CHADEMA imeamua kutumia Westminster system katika kumpata kiongozi wa upinzani bungeni.
Kama wametumia Westminster system kuna maana pana zaidi ya kiongozi wa upinzania bungeni.
Kwa Westminster system kiongozi wa upinzani bungeni automatically ndio mgombea wa uwaziri mkuu katika uchaguzi mkuu unaofuata; ambao kwa Tanzania ni sawa na mgombea wa urais. Kwa hiyo, ni bayana kuwa Mbowe ndio atakuwa mgombea wa CHADEMA mwaka 2015.
Hongera "Mtu Uliye Huru" Mbowe. Isimamie agenda ya tume huru kidete kama kiongozi wa upinzani bungeni. Mungu akuongoze.