Mbowe: CHADEMA iko kwenye mazungumzo na ACT Wazalendo kuachiana nafasi za kugombea kuanzia Urais hadi Udiwani Bara na Visiwani

Kutokana na nguvu ya chama cha CCM kishinda kwa wapizani ni ndoto kama wasipo ungana kuongeza nguvu na wafuasi wao mfano LISSU NA MEMBE hawa jamaa wakiungana wana weza kutetemesha wapizani wao kutokana na influence yao
 
Alishindwaje kupata 2015?. Iwe leo wananchi wanamaisha magumu, mishahara haijapandishwa miaka 5, hajaajiri miaka 5 ,hakika atakaemchagua JPM atakuwa na akili ndogo kama kuku.
Kwahiyo hayo tu ndo unayaona wwe ya muhimu?vp kuhusu kuboreshwa kwa sekta za Afya, Elimu, Miundombinu, Umeme na Maji. Inawezekana mishahara haijapanda lakini fedha za kupandishia hiyo mishahara zimetumika kwenye mambo mengine ya msingi ambayo yamegusa wananchi wengi kuliko hao watumishi wachache.
 
Unawezaje kumheshimu Rais, jeshi la nchi lako, usilipe heshima, nina shaka na utaifa wako.

Nimetoa jibu linaloendana na niliyemquote. Hata hivyo utaifa ni lazima umuheshimu rais na jeshi?
 
Image
 
Membe amefika dau Nini? Maana mbowe akitangaziwa ukwasi ana data kabisa. CDM ijiandae kisaikolojia. Nyalandu Hana mvuto kwa wapiga kura, lissu mwenye mvuto Hana hela, hapo Membe lazima awakilishe ukawa uchwara.
Mbowe ni mkwasi tokea akiwa tumboni mwa mama yake
Hata Nyerere analijua Hilo maana alishapewa nauli na familia ya Mbowe
 
Mimi imani yangu inaniambia hata kama wapinzani hawatosimamisha mgombea mmoja basi Lissu anashinda saa 8 mchana. Kura zilizobaki watagawana baina ya Membe na JPM.

Kwa upande wa Wabunge ACT watachukuwa 55% ya viti Zanzibar na 3 Tanganyika. CDM wataengeza viti 20 ya walivonavyo sasa. CCM watabakia na majority lakini watapoteza uraisi. Itakapotokea hivyo hata Uspika utaenda kwa upinzani kwa vile kuna wabunge watatoka uwoga wa kufata maelekezo kwa kupiga kura on partisan base.
 
Membe amefika dau Nini? Maana mbowe akitangaziwa ukwasi ana data kabisa. CDM ijiandae kisaikolojia. Nyalandu Hana mvuto kwa wapiga kura, lissu mwenye mvuto Hana hela, hapo Membe lazima awakilishe ukawa uchwara.
Mkuu kama wewe ulizaliwa kwenye kaya masikini usifikiri wote ndiyo hivyo. Na hivi sasa unasumbuliwa na wivu uliotokana na umasikini ulionao.
 
Mkuu kama wewe ulizaliwa kwenye kaya masikini usifikiri wote ndiyo hivyo. Na hivi sasa unasumbuliwa na wivu uliotokana na umasikini ulionao.
Hakuna tajiri anayeridhika na kipato chake, na hiyo ndio hulka ya mbowe.
 
Habari njema, lkn hao ACT waking'ang'ania Membe ndiyo awe mgombea urais hakuna haja ya kuungana
Hayo ndio tunataka kusikia, lakini Lissu the great ndio awe mgombea, Membe mpiga kampeni hakika chama chakavu tunakizika mapema.
 
Uwezo wa kusimamisha wagombea nchi nzima hamna, iwe kwa lift au kwa msaada wa mabeberu, JPM kupata 95% in lazima
una kumbukumbua ACT wakiwa chama kichanga mwaka jana walisimamisha wagombea kiasi gani
 
Back
Top Bottom