Mbowe: CHADEMA iko kwenye mazungumzo na ACT Wazalendo kuachiana nafasi za kugombea kuanzia Urais hadi Udiwani Bara na Visiwani

Alishindwaje kupata 2015?. Iwe leo wananchi wamaisha magumu, mishahara haijapandishwa miaka 5, hajaajiri miaka 5 ,hakika atakaemchagua JPM atakuwa na akili ndogo kama kuku.
Anatapika maneno bila kutumia akili huyu
 
nategemea kuona membe akiwa mgombea urais na lissu mgombea mwenza tofauti na hapo kura yangu nampa jpm mapema kabisa bila kupepesa macho na bila tashwishwi.
We lisisiemu tu.....

Mbona mnamuogopa sn Lissu?? 😀😀
 
Uwezo wa kusimamisha wagombea nchi nzima hamna, iwe kwa lift au kwa msaada wa mabeberu, JPM kupata 95% in lazima

Kwa taarifa yako cdm ina wagombea majimbo yote 254 nchi nzima. Kuachiana ni kukidhi tu matakwa ya wapiga kura ya kuungana.
 
Mgombea urais na mgonbea mwenza hawawezi toka upande mmoja wa muungano, inalazim mmoja kutoka bara na mwingine zanzibar
nategemea kuona membe akiwa mgombea urais na lissu mgombea mwenza tofauti na hapo kura yangu nampa jpm mapema kabisa bila kupepesa macho na bila tashwishwi.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amesema chama hicho kipo katika mazungumzo ya kufanya ushirikiano wa kuachiana nafasi ikiwemo ya Urais kwa upande wa Zanzibar na pia baadhi ya majimbo na kata nchini na Chama cha ACT-Wazalendo.

MBOWE :Tupo katika mazungumzo na ACT-Wazalendo
This time Mbowe katumia akili ndefu Sana, huyu jamaa ni master of political entrepreneurship. Lissu pamoja na umahiri wake Kwa chairman anakaa.
 
Alishindwaje kupata 2015?. Iwe leo wananchi wanamaisha magumu, mishahara haijapandishwa miaka 5, hajaajiri miaka 5 ,hakika atakaemchagua JPM atakuwa na akili ndogo kama kuku.
Hivi mkuu ujasiri wa kuamini Lisu anaweza kumshinda JPM mnautoa wapi?
Hizo hoja zote hapo juu ccm wana majibu nazo!
Mwananchi huyu huyu anaye mpa jogoo Magufuli ndio hatamchagua?
Hivi kweli Magufuli aishinde ile nguvu ya Lowasa then aje kushindwa na Lisu?? Kama ni kutabiri naweza sema lisu ataweza kupata asilimia 15 - 20% ya kura za uraisi na si zaidi ya hapo? Naamini hata Mbowe analijua hilo vizuri!
Kama ni political analyst mzuri utaweza kulifahamu hilo, naamini hata bajeti ya CDM ya mgombea uraisi mwaka huu itabanwa isitumie hela nyingi kama 2015 kwasababu ni hasara tu kwa chama!
Juhudi kubwa zielekezwe kwenye ubunge ili angalau bunge lisipwaye, kutogombea kwa Mnyika nalo ni pigo kwa upinzani, ingekuwa busara itumike ashauriwe agombee ubunge mnyika, Lisu angerudi jumboni angeshinda ubunge, na huo uraisi mkampa hata huyo Nyarandu au Membe kama geresha tu!
Huo ni ukweli mchungu ambao kambi ya upinzani wanaujua kwa uzuri ila kuwaambia wanachama hawatafanya hivyo wasiwakatishe tamaa
 
Membe amefika dau Nini? Maana mbowe akitangaziwa ukwasi ana data kabisa. CDM ijiandae kisaikolojia. Nyalandu Hana mvuto kwa wapiga kura, lissu mwenye mvuto Hana hela, hapo Membe lazima awakilishe ukawa uchwara.
 
nategemea kuona membe akiwa mgombea urais na lissu mgombea mwenza tofauti na hapo kura yangu nampa jpm mapema kabisa bila kupepesa macho na bila tashwishwi.

Inaonekana Katiba ya JMT huijui vizuri.
 
Hivi mkuu ujasiri wa kuamini Lisu anaweza kumshinda JPM mnautoa wapi?
Hizo hoja zote hapo juu ccm wana majibu nazo!
Mwananchi huyu huyu anaye mpa jogoo Magufuli ndio hatamchagua?
Hivi kweli Magufuli aishinde ile nguvu ya Lowasa then aje kushindwa na Lisu?? Kama ni kutabiri naweza sema lisu ataweza kupata asilimia 15 - 20% ya kura za uraisi na si zaidi ya hapo? Naamini hata Mbowe analijua hilo vizuri!
Kama ni political analyst mzuri utaweza kulifahamu hilo, naamini hata bajeti ya CDM ya mgombea uraisi mwaka huu itabanwa isitumie hela nyingi kama 2015 kwasababu ni hasara tu kwa chama!
Juhudi kubwa zielekezwe kwenye ubunge ili angalau bunge lisipwaye, kutogombea kwa Mnyika nalo ni pigo kwa upinzani, ingekuwa busara itumike ashauriwe agombee ubunge mnyika, Lisu angerudi jumboni angeshinda ubunge, na huo uraisi mkampa hata huyo Nyarandu au Membe kama geresha tu!
Huo ni ukweli mchungu ambao kambi ya upinzani wanaujua kwa uzuri ila kuwaambia wanachama hawatafanya hivyo wasiwakatishe tamaa
Good analysis. Nahuo ndio ukweli. Lissu angerudi Jimboni.
 
Membe amefika dau Nini? Maana mbowe akitangaziwa ukwasi ana data kabisa. CDM ijiandae kisaikolojia. Nyalandu Hana mvuto kwa wapiga kura, lissu mwenye mvuto Hana hela, hapo Membe lazima awakilishe ukawa uchwara.
Na Leo katika kujibu maswali, Lissu kajibu Kwa kumchimba chairman kwamba 2015 kuna hela ilitoka but chama hakikuiona na this time anawataka wajumbe wasikubali kulaghaiwa..Lissu keshaanza kuingia machale
 
Back
Top Bottom