Mbowe: CHADEMA haiko tayari kupokea Ruzuku inayotokana na Kura za Wizi!

Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema chama chake hakiwezi kupokea Ruzuku inayotokana na kura za wizi.

Mbowe amesema Chadema ni chama cha watu waadilifu waliojazwa roho za uzalendo hivyo hawawezi kuwasaliti wananchi.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Kura za uwizi huku unalazimisha kukutana na mana yetu ,ndio maana mzee Mbowe unastahili kupewa jina lunaliakusi wajunga yaani TONDO
 
Hivi kipindi yule mwenyekiti wa UVCCM (Kheri James) alivyokua akitumia kauli Kama vile

1. "kilema"
2. " sindano Moja tu pyaaa chali "

Hapa hamkuona ustaa wa maneno au sio.

Halafu kuna huyu Mange anajifanya kuijua stahaa ya maneno Huyu...yeye ni Mara ngapi hiyo stahaa aitumii.

Tudai uwajibikaji wa wadhalimu! Nje ya hapo ni kujipendekeza tu na unafiki!View attachment 1839738
CCM wauaji aisee...Nikikumbuka haya!!
 
Mkuu hizi picha zimeniletea hasira na chuki kubwa ndani ya mwili wangu,binafsi ni muimini wa mizimu yangu ya asili sio imani zilizokuwa imported hapa,mawazo yangu yanafikiria ndugu na familia zao,ipo siku wanawajibika kwa mateso haya kwa binadamu wenzao maana kwangu watesaji hawa ni wanyama
Mwenyewe nimekumbuka mbali mno na kusononeka...Yaani CCM hawa ....?!
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema chama chake hakiwezi kupokea Ruzuku inayotokana na kura za wizi.

Mbowe amesema Chadema ni chama cha watu waadilifu waliojazwa roho za uzalendo hivyo hawawezi kuwasaliti wananchi.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Chadema bado wspo ? I thought walifutwa
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema chama chake hakiwezi kupokea Ruzuku inayotokana na kura za wizi.

Mbowe amesema Chadema ni chama cha watu waadilifu waliojazwa roho za uzalendo hivyo hawawezi kuwasaliti wananchi.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hata hivyo Chadema ni maiti saa hizi
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema chama chake hakiwezi kupokea Ruzuku inayotokana na kura za wizi.

Mbowe amesema Chadema ni chama cha watu waadilifu waliojazwa roho za uzalendo hivyo hawawezi kuwasaliti wananchi.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Na wasipokeet kweli

Na serikali idhibiti pia pesa za wafadhili maana hao ndio wanawapa kiburi

Mbowe moved to Dubai kula posho za western world
 
Back
Top Bottom