Mbowe, CHADEMA acheni propaganda jibuni hoja za wananchi wa Hai

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Baada ya wananchi wa jimbo la Hai kutaka majibu kutoka kwa Mbunge wao kwa njia ya kuhoji mkutanoni kumetokea propaganda mfu kuwa wametumwa. Hata kama wametumwa, je siyo wananchi wa Hai? Kwanini wasijibiwe kwa hoja na badala yake Mbowe na wafuasi wake wanalialia? Kwa haraka haraka nimesikia maswali yao kama ifuatavyo wakiyaelekeza kwa Mbowe:

Mh. Mbowe tuambie umetufanyia nini miaka mitano (5) jimboni kwetu?

Mh. Mbowe tangu mwaka 2015 hujawahi kufanya mkutano tukueleze kero zetu, kwanini leo?

Mh. Mbowe hatujawahi kukusikia bungeni ukiongelea chochote kuhusu wilaya ya Hai, kwanini?

Mh. Mbowe kwanini kila siku kwenye mikutano yako hapa jimboni unazungumzia Akwilina badala ya mambo yahusuyo watu wa Hai?

Hizi hoja zingepatiwa majibu ili kuwanyamazisha wananchi wa jimbo la Hai na sio kulialia na kutafuta mchawi. Kumbukeni Mbowe amekuwa Mbunge wa Hai kwa miaka kumi mfululizo kuanzia 2010 ukiacha mwaka 2000-2005. Je, maswali ya hapo juu si sawa kuulizwa?
 
Waliozomea walitaka Mbowe ataje alichokifanya jimboni kwake, watetezi wa Mbowe wanatakiwa kutaja tu mambo aliyoyafanya jimboni tangu mwaka 2015 na mchezo ukaishia hapo.

Mpaka sasa sijaona hata jambo moja lililotajwa maana yake wananchi wa Hai wamechoka na ulaghai wa mbunge wao
 
Sent using Jamii Forums mobile app
ukiwasikiliza wale uvccm walikua wanajiuliza na kujijibu wenyewe, mmoja alikua nasema hakuna maendeleo yoyote alafu mwingine anasema Mbowe umekuja kufanya nini wakati magufuli ameshatujengea zahati na barabara.

Next mtume watu wenye akili timamu ambao hawajala mataputapu.
 
Wakudadavuwa, Hahaha mwaka wa uchaguzi ndiyo anafanya mikutano
IMG_20200305_082705.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliozomea walitaka Mbowe ataje alichokifanya jimboni kwake, watetezi wa Mbowe wanatakiwa kutaja tu mambo aliyoyafanya jimboni tangu mwaka 2015 na mchezo ukaishia hapo.

Mpaka sasa sijaona hata jambo moja lililotajwa maana yake wananchi wa Hai wamechoka na ulaghai wa mbunge wao

Sent using Jamii Forums mobile app

Huo ndiyo utaratibu wa Wananchi kudai maendeleo kwa kiongozi wao?

Wale walifanya Mambo ya kihuni wakiongozwa na jeshi la Polisi.

Utaratibu wa kuwasilisha hoja kwenye mkutano kama huo unajulikana, wao walikuwa wanafanya vurugu kwenye mkutano halali wa Mbunge.

Ingekuwa ni Vijana wa Chadema wamefanya hivyo kwa Rais na Mwenyekiti wa ccm, WANGEACHWA HIVIHIVI na kupongezwa?

TUWENI WAKWELI

Kwa vile ushahidi wa waliohusika upo (PICHA na video)

Wahusika wore wafikishwe mahakamani ili SHERIA zikatafasiliwe ili haki itendeke.
 
Wananchi wa Hai wamejibiwa isipokuwa wale wahuni wa Sabaya waliamua kuvuruga mkutano,wanatakiwa wafundishwe kwanza kazi na majukumu ya mbunge
 
Wananchi wa Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro na mbowe ni sawa na uji na mgonjwa.inaonyesha wananchi wanayo maendeleo tayari hivyo Wana muhitaji mbowe tu. Maendeleo hayana chama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom