Mbowe awasifu askari polisi kwa kutenda haki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe awasifu askari polisi kwa kutenda haki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilombero yetu, Jun 7, 2011.

 1. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  polisi kweli wametenda haki hawajaninyanyasa wala hajanidhuru ila wamenilinda sana,nilimsikia akisema itv jana
   
 2. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unaesikia habari za mbowe ni wewe tu
   
 3. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kawaambie wananchi wa Jiji la Arusha na kijiji cha Nyamongo, North Mara, hizo story za "utendaji haki" wa Polisi!
   
 4. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Mmmh kumbe thread ya mwehu,ngoja niende zangu.
   
 5. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  poa shoga nenda
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni kweli alikri hilo lakini kumlinda sana indirect aliwatukana, kituo kizima kililindwa extra ordinary kisa Mbowe, kwani Mbowe Mullah Omary? Jet ya kijeshi nayo ilithibitisha alilindwa sana n.k
   
 7. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  asante kwa kukubali
   
 8. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  ingekuwa raia na mali zetu tunalindwa namna hii na jeshi la polisi kungekuwa na wezi? nadhani hili ndili swali tunalotakiwa kujiuliza
   
Loading...