Mbowe awapa ukweli mchungu watu wa kusini, hakuna mtu mwenye uchungu na nyie isipokuwa wenyewe

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Mbowe ameyaongea hayo katika mkutano wa ndani wa chadema na kuwataka wananchi hao kuwa na umoja

Mikoa ya kusini ndio mikoa masikini zaidi Tanzania ikiwa hai a shule za tofali, barabara duni, umeme hakuna
lakini kiongozi wa awamu hii ameweka focus yake kanda ya ziwa, kufanya ziara za mara kwa mara, kujenga uwanja wa ndege, kuweka taa za barabarani kijijini na kuweka mikoa hiyo kuwa ndio masikini zaidi hivyo kupata kipaumbele cha misaada huku wana kusini wakiwa wanataabika hawana hata maji
 
Yamekua hayo tena?
 
Kusini walituangusha sana kuliko tulivyokua tunategemea sisi makamanda. Sijui nani aliwaloga, ila nawaomba usiludie kosa hilo 2020 kwani tunao soma namba ni wote
Kati ya Kusini na Kanda ya Ziwa au hata Magharibi na Kati; ni wapi wameusaliti upinzani?! Kigoma ambayo ilikuwa ndo ngome ya upinzani kwa miaka kadhaa; imetoa wabunge wangapi?! Lindi na Mtwara wametowa wabunge wangapi kila mmoja?!
 
Huku ni kukwepa majukumu, ukiigawa hii nchi kimajimbo, (kaskazini, kusini, nyanda za juu, ziwa kuu, na mashariki) utakuwa una wanyima watanzania umoja wao walio ujenga kwa miaka mingi. Hii inaweza kufanya upande mmoja wa nchi usiwe na ulazima wa kusaidia upande mwingine. Korosho ya Mtwara, haita nunuwa madawati ya kigoma. Dhahabu ya Mwanza haita nunuwa chanjo ya watoto wa Tanga. Hii inaweza kwenda mpaka kwenye kazi, wa nyanda za juu anaweza kupata mtiani wa kutafuta kazi kanda ya mashariki kutokana na wamashariki wanasema hizi ni kazi zetu rudi ulikotoka. Mifano ipo mingi duniani walio jaribu sera kama hizi, hayakuisha vizuri. Nchi yetu bado haija jitosheleza kwa kila kanda kujitegemea, tusiige mambo kutoka nchi zilizo funguka kiuchumi kwa miaka mingi, tutakuwa tunafanya kinyume cha maendeleo na mshikamano uliokuwepo Tanzania.
 
Hizo hazifiki hata dola 2. Nenda supermaket ununue korosho kilo moja uone utalipa kiasi gani! 4000 is nothing.

Huyu analeta masikhara,Korosho ghafi 4000/- ndo anaona nyingi wakat hapa Lindi jana nauliza korosho iliyobanguliwa vijana wanauza 16,000/-
Bei iko mara 4 ya Korosho ghafi,
Korosho bado zipo chini,ila inahtaj mtu aangalie kwa makini sana
 
Kusini wanauza korosho kilo 4000 ,

Alafu nyie chama la kutetea mafisadi chadema mnapeleka porojo zenu za kitoto kabisa.

Bei ya Korosho 4000/-ndo unaona Kubwa?
Lindi korosho inauzwa Kilo 16,000/- sijui huko supermarket itakua kiasi gani,
Dola 2 ndo zinakutoa roho wakat hapahapa Lindi korosho ilobanguliwa wanauza dola 4 na haina sukar wala chumvi,nadhan imefika wakat korosho iuzwe kilo walau elf 10 kwa bei ya shamba
 
Huyu analeta masikhara,Korosho ghafi 4000/- ndo anaona nyingi wakat hapa Lindi jana nauliza korosho iliyobanguliwa vijana wanauza 16,000/-
Bei iko mara 4 ya Korosho ghafi,
Korosho bado zipo chini,ila inahtaj mtu aangalie kwa makini sana

Umepiga hesabu lakini ni kilo ngapi za korosho ghafi zinatoa kilo iliyobanguliwa ili hujue kwa nini 16000 tena kilo ni 18000.
 
Back
Top Bottom