Mbowe aungana na Mnyika kusema serikali ya Kikwete dhaifu

Pole sana Kamanda
4aaefac6-6c22-4d7a-a1f0-85f94216e59f.jpg
 
Naungana na wewe, kwa kweli Mh. Mbowe ameonyesha maturity ya hali ya juu leo Bungeni. Na ninaunga mkono kuwa anafaa sana kuwa kiongozi wa chama na kiongozi wa kambi ya Upinzani. Amesimama kitaifa zaidi kuliko ushabiki.
Mbowe arudie kazi ya kukusanya viingilio disco siasa hawezi
 
Kumbe mwenyekiti ni babu!!kinachomfanya aonekane ni kijana ni ruzuku ya walipa kodi.
 
Back
Top Bottom