Uchaguzi 2020 Mbowe atakiwa kuomba radhi baada ya kusema vyama vingine vya upinzani vinashirikiana na CCM

Vyama vilivyopinga adhabu ya Chadema ni ACT, CHAUMA na Chadema wenyewe. Kiukweli hao wengine ni mawakala wa CCM na hata Lipumba hela ya kampeni imetokana na ruzuku iliyozuiliwa
Mzee Rungwwe yuko vizuli sana
 
Hao nao wapambane na hali zao, wasitefte kiki kwa Mbowe, suala la vyama vingine kuunga mkono ccm mbona lipo wazi! Madam hakuwataja wao, lakini hili lipo!
 
Chama cha Demokrasia Makini Wapeleke malalamiko Tume ya maadili officially kwa hicho mbowe alichotamka ili Chadema wachukuliwe hatua officially ikiwemo kuzuiwa kufanya kampeni kama chama nchi nzima
Huna akili
 
Aombe radhi ipi? Kwani Mbowe amesema uongo upi? Vyama vyote vingine ni utopolo mtupu wa kisiasa. Waache ujinga hapa. Wachukue maneno ya Mbowe kama wake-up call. Tunawafahamu na tumewachoka. Siyo wanasiasa, ni wahuni wachumia tumbo.
hivyo vyama huwa vinaibukaga kwenye uchaguzi tu halafu wala havipigi kampeni wala nini vyenyewe ni kwenye matamko tu ndo utavisikia.
uchaguzi ukiisha vinapotea. ngoja tuone this time LISSU anachukua nchi kama vitaendelea kuwepo me nahamia kwa UHURU ✌ :cool:
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia MAKINI, Ameir Hassan Ameir amemtaka mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe kuwaomba radhi baada ya kauli yake aliyoitoa mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam ambapo alisema vyama vya siasa 12 vinafadhiliwa ili kukisaidia Chama cha Mapinduzi CCM na kutafuta maslahi kupitia jukwaa la siasa.

=======

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia Makini, Amer Hassan amemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuwaomba radhi kufuatia kauli aliyoitoa jana kuwa Chama hiko ni miongoni mwa vyama 12 vya upinzani vinavyofadhiliwa na CCM

Akiongea na Waandishi wa Habari, Freeman Mbowe alisema "Mwenendo wa kampeni unadhihirisha kuwa Uchaguzi huu washindani ni wawili ambao ni CHADEMA na CCM, hivi vyama vingine ni vyama vinasimamiwa na vinakisaidia Chama Cha Mapinduzi kutafuta uhalali"

Amer amesema kauli hiyo sio ya kiungwana, ni tata na imewachafua kwa sababu kila Chama kina haki ya kufuata Sheria na taratibu. Amemtaka kushughulika na Kamati ya Maadili kuhusu adhabu aliyopewa Tundu Lissu ya kutofanya kampeni

Ameongeza kuwa, Mbowe amewadharau na kuwavunjia heshima kwani amejiona kwamba Chama chake ndicho kina haki ya kufanya siasa nchini.
Kwani uongo
 
He was right as opposition parties they should have stood up for the opposition not Nec ambayo haitumii hako!
 
Chadema wanachokosea ni kuamini wao ndo wanapaswa kuwa role model wa mabadiliko nchini na kila chama na wana harakati wengine wanatakiwa kutumia na kufuata njia na mikakati wanayotumia kufikia lengo la mabadiliko. Ukitaka mabadiliko ila ukafuata njia zako nyingine chadema wanakuita Ccm B. Huu uhafidhina wa fikra uliowajaa wana chadema wengi unafanya vyama vingine kujitenga nao na kuwa hesitant kushirikiana nao. Chadema na hasa bavicha badilikeni acheni kuvibeza vyama vingine vya upinzani pale mambo yanapowaendea mlama na kuvihitaji pale mnapohitaji support yao kushinda baadhi ya maeneo..
 
Vyama vilivyopinga adhabu ya Chadema ni ACT, CHAUMA na Chadema wenyewe. Kiukweli hao wengine ni mawakala wa CCM na hata Lipumba hela ya kampeni imetokana na ruzuku iliyozuiliwa
Pamoja na ACT na CHAUMA kuwaunga mkono lakini bado ni vibraka wa CCM?
Hahahaha hiyo ndi chadem bhana, dhalau kwa kwenda mbele, na ndio maana mgombea wao akiwadharau wale wazee wa time ya makinikia kuwa professorio rubbish,
Wakati pengine ndo wamemfundisha.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia MAKINI, Ameir Hassan Ameir amemtaka mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe kuwaomba radhi baada ya kauli yake aliyoitoa mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam ambapo alisema vyama vya siasa 12 vinafadhiliwa ili kukisaidia Chama cha Mapinduzi CCM na kutafuta maslahi kupitia jukwaa la siasa.

=======

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia Makini, Amer Hassan amemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuwaomba radhi kufuatia kauli aliyoitoa jana kuwa Chama hiko ni miongoni mwa vyama 12 vya upinzani vinavyofadhiliwa na CCM

Akiongea na Waandishi wa Habari, Freeman Mbowe alisema "Mwenendo wa kampeni unadhihirisha kuwa Uchaguzi huu washindani ni wawili ambao ni CHADEMA na CCM, hivi vyama vingine ni vyama vinasimamiwa na vinakisaidia Chama Cha Mapinduzi kutafuta uhalali"

Amer amesema kauli hiyo sio ya kiungwana, ni tata na imewachafua kwa sababu kila Chama kina haki ya kufuata Sheria na taratibu. Amemtaka kushughulika na Kamati ya Maadili kuhusu adhabu aliyopewa Tundu Lissu ya kutofanya kampeni

Ameongeza kuwa, Mbowe amewadharau na kuwavunjia heshima kwani amejiona kwamba Chama chake ndicho kina haki ya kufanya siasa nchini.
Yaani ni zaidi ya dharau, halafu wanajita chama cha demokrasia na maendeleo, ingali huku mwenyekiti wao wa taifa anainajisi demokrasia AIBUU
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia MAKINI, Ameir Hassan Ameir amemtaka mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe kuwaomba radhi baada ya kauli yake aliyoitoa mbele ya waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam ambapo alisema vyama vya siasa 12 vinafadhiliwa ili kukisaidia Chama cha Mapinduzi CCM na kutafuta maslahi kupitia jukwaa la siasa.

=======

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia Makini, Amer Hassan amemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kuwaomba radhi kufuatia kauli aliyoitoa jana kuwa Chama hiko ni miongoni mwa vyama 12 vya upinzani vinavyofadhiliwa na CCM

Akiongea na Waandishi wa Habari, Freeman Mbowe alisema "Mwenendo wa kampeni unadhihirisha kuwa Uchaguzi huu washindani ni wawili ambao ni CHADEMA na CCM, hivi vyama vingine ni vyama vinasimamiwa na vinakisaidia Chama Cha Mapinduzi kutafuta uhalali"

Amer amesema kauli hiyo sio ya kiungwana, ni tata na imewachafua kwa sababu kila Chama kina haki ya kufuata Sheria na taratibu. Amemtaka kushughulika na Kamati ya Maadili kuhusu adhabu aliyopewa Tundu Lissu ya kutofanya kampeni

Ameongeza kuwa, Mbowe amewadharau na kuwavunjia heshima kwani amejiona kwamba Chama chake ndicho kina haki ya kufanya siasa nchini.
Miaka yote hii hamna hata mbunge..tuondolee utopolo
 
Unaupata wapi uhalari kwako wewe mpinzani kupiga kura tena ya siri ukiunga mkono kuadhibiwa kwa ndugu yako wa upande wako kwa manufaa ya adui yako? halafu ukiitwa mamluki unakasilika?
 
Eti maneno ya Mbowe ni wake up call?. Labda ya kumeza faru John, na manyumbu wenzake. Hiko chama ni cha kuuzwa na watanzania wote.
bila shaka alipokuwa anakunywa faru john we ndo bamedi wa zamu
 
Back
Top Bottom