Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Unaweza ona kwa akili mbowe alikua anaenda shindwa, wanahai walikua wanamuongelea vibaya kashindwa kazi
Watu wanahaki kukuongelea kwa mabaya au mazuri

Jambo linaloleta ukakasi ni ocd kutamka waziwazi hawezi kushinda uchaguzi
 
Watu wanahaki kukuongelea kwa mabaya au mazuri
Jambo linaloleta ukakasi ni ocd kutamka waziwazi hawezi kushinda uchaguzi
OCD ni maneno tu yale, ambayo hakutakiwa kuy5asema ila sio sababu. Sasa nyie mtajisahau na kùjiuliza mmekosea wapi na mtajikita na hayo maneno. Ukweli ni kua wanahai walimchoka mbowe hata ktk mikutano yake walihoji maswali magumu kwa mbowe.

Na kauli ya kauli za jpm na majaliwa pale hai za tunataka connection, mnajichelewesha wenyewe yaļikua ni chachu.
 
Kwa niliyoyaona katika uchaguzi huu kiukweli shetani ana nafuu ,mikakati iliyopangwa usiku wa kuamkia uchaguzi nilipoisikia masikio yaliwasha

1. Mawakala wasipewe nakala ya matokeo na ile nakala itakayobandikwa iwekwe gundi nyingi ili ichanwe haraka baada ya kubandika kabla raia hawajayaona matokeo.

2 Matokeo yakifika kituo cha kujumlishia yatapikwa upya kuwabeba jamaa bahasha zisifungwe.

Yaani itoshe tu kusema UCHAGUZI ULIKUWA NI KITUKO CHA KARNE
 
Kwa mtu anayeona mbali hii nchi inajipikia bomu kubwa Sana la chuki siku likija lipuka sijui itakuaje, kama demokrasia hatuiwezi ni Bora ieleweke tubaki tu na chama kimoja.
 
OCD ni maneno tu yale, ambayo hakutakiwa kuy5asema ila sio sababu. Sasa nyie mtajisahau na kùjiuliza mmekosea wapi na mtajikita na hayo maneno. Ukweli ni kua wanahai walimchoka mbowe hata ktk mikutano yake walihoji maswali magumu kwa mbowe.
Na kauli ya kauli za jpm na majaliwa pale hai za tunataka connection, mnajichelewesha wenyewe yaļikua ni chachu.
Siasa za Tz ni majitaka
Palipo na chama pinzani hakuna connection it really?,kwa Ndugai kumeoza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom