Mbowe anashauriwa na nani?

Technology

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
769
284
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?
 
Mbali na wabunge watano wakongwe na mahiri mnyika, shibuda nao pia hawakukubaliana na ideas za mbowe kugomea hotuba ya rais, sasa wabunge wazoefu na makini woote wamepingana na mwenyekiti wao, anatupeleka wapi na hiyo idea alishauriwa na nani. Tuache ushabiki
 
bora umeileta ijadiliwe ukweli tutaanza kuuona kuliko kusubiri ya magazetini
 
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?

Una uhakika na unachokiandika?
 
tujuavyo kulikuwa na demokrasia wakapiga kura na wengi walishinda, hili la Mbowe kulazimisha umelitoa wapi. Tupe source ya uhakika....
 
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?

Uzuri tunakujua siku nyingi. Huna la maana, maana hata source huna. Kama umetumwa na Salma humu JF nenda kamwambie wapo busy hawana la kujadili nyaaaaambaf!!!!!!!
 
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?

Makamba anashauriwa na Prof Maji Marefu akisaidiwa na Shekh Yahaya kama unavyomuona kwenye mapozi

Sheikh-Yahaya-Hussein-700347.jpg
 
wabunge watano wakongwe arfi, kabwe, mdee, ndesamburo, owenya wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya jk, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na slaa na zitto, hivi kinanani wanamshauri?

huo ni uzushi.tupe source .halafu hapa jf kila mtu anachofikiria anakileta hapa.jf sio jalala au shimo la taka.ukitoa kitu njoo na evidence
 
Wabunge watano wakongwe ARFI, KABWE, MDEE, NDESAMBURO, OWENYA wooote hawakubaliana na idea ya kugomea speech ya JK, mbowe bado aliendelea na msimamo wake na sasa anakula matapishi na anapingana na SLAA na ZITTO, hivi kinanani wanamshauri?

Kwanza tuambie katika suala la wabunge wa Chadema kugomea speech ya JK wewe upo upande gani? Unapotaka kujua Mbowe anasshauriwa na nani ni ili iweje?
 
Hebu tupe maelezo ya kina kwamba wametofautiana juu ya nini haswa! Kipi chanzo cha hii habari ndg, au umebuni.
 
akiwa kwenye kazi ya bunge kama kiongozi wa kambi ni naibu wake ZITTO. Akiwa kwenye chama ni makamu wenyeviti wawili wa bara na znz. kwenye kufanya maamuzi ni vikao halali. wewe unafikiri tofauti?
 
Hakuna anaejibu, jazba hazitojenga chama chetu, guys just come with ideas achana na ushabiki....
 
Makamba anashauriwa na Prof Maji Marefu akisaidiwa na Shekh Yahaya kama unavyomuona kwenye mapozi

Sheikh-Yahaya-Hussein-700347.jpg

Halafu inaonekana viongozi wengi wa CCM na serikali wanashauriwa na huyu bwana maana wana pete mikononi kama hii ninayoiona, ukianza kuwataja wako wengi, mkulu amekosa pete kama hii kweli?
 
Arfi, kabwe,uwenya,mdee,ndesamburo,mnyika,shibuda woote hawakuwemo siku ile ya hotuba ya rais and it is obvious walipinga na si dalili nzuri, hata hili mnahitaji ushahidi wa signature na video tapes... Guys let us discuss it critically pipoz...............
 
wabunge.jpg
 
Sorry mtoa hoja!Sijui kama dhana ya demokrasia inaeleweka kwako?Coz nikifahamucho hapa ni kwamba sio maamuzi ya mbowe binafsi bali ya kura za waliohafiki chadema!
Na mbowe co wa kubebeshwa hili kwani hata bungeni sheria ikiwa mbovu halaumiwi spika bali ni wabunge
 
Back
Top Bottom