Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kama Rais Magufuli na vyombo vyake vya polisi wanadhani watatufanyia uhuni kama walivyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019, mpatanishi atakua Katibu wa Umoja wa Mataifa.

#DevelopmentIsWoman
#MaendeleoNiMwanamke
#NoHateNoFear
 
Mzee Mbowe ameongea hii kauli kusafisha taswira yake iliyochafuka siku chache zilizopita. Ili kuonesha umma kwamba hakupiga magoti kwa Raisi Magufuli, atalazimika kujitutumua na kufanya vitu vya hatari ili kuthibitisha kwamba haogopi mtu.
 
Hizo siyo kauli za kutoa wakati huu ambapo yete mwenyewe amependekeza kuwepo kwa maridhiano, halafu hata majibu hakapewa anaanza kutoa kauli za vitisho na za kitoto kuasi hicho.
Naziita kuwa ni kauli za kitoto sababu wote tunajia hawana ueezo wa kufanya lolote la kupelekea UN kuingilia kati.
Kwanza huyo anayemtishia hayo yupo wapi?
 
Lakini usishangae ndo mawazo yake huku akisahau kwamba hata huko Amerika wana shida sana mambo ya uchaguzi katika vyama vyao.
 
Mzee Mbowe ameongea hii kauli kusafisha taswira yake iliyochafuka siku chache zilizopita. Ili kuonesha umma kwamba hakupiga magoti kwa Raisi Magufuli, atalazimika kujitutumua na kufanya vitu vya hatari ili kuonesha kwamba haogopi mtu.
Mtatunga theories zote lakini ukweli ni kuwa kauli ya Mbowe kule Mwanza ilikuwa ni angalizo tu na siyo kuwa alijisalimisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya debacle ya Mwanza niliyategemea haya maneno. Lakini je, Mbowe na wenzake kama Maalim Seif ambaye pia nimemuona majuzi anatoa kauli kali kule Pemba, wako tayari to walk the talk? Kuwaongoza watanzania kupambana na hii dhuluma? Hawa viongozi waache informal appeasement policy, it is time for radicalism.
 
Back
Top Bottom