Mbowe anaitaka serikali iwachukulie hatua Lowassa na Sumaye?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameitaka serikali kuwachukulia hatua viongozi mbalimbali waliohusika katika kuliingizia serikali hasara ya mabilioni kutoka kwenye sekta ya madini.

Freeman Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro alitoa kauli hiyo katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA mjini Dodoma alipokuwa akizungumzia sakata la mchanga wa madini ambalo limepamba moto kwa sasa nchini.

“Tunafukuza watu kwa makosa yaliyofanywa miaka 15 iliyopita, lakini wale waliofanya makosa wapo uraiani, wapo huru” alinukuliwa Mbowe akizungumza.

Kwa kauli hii ya Kiongozi Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni ni kuwa, baadhi ya waliokuwa viongozi wakuu wa shughuli za serikali wakati mikataba hii ikisainiwa na kazi hizi za usafirishaji wa mchanga ambaoni wananchama wa chama hicho, nao watachukuliwa hatuaendapo serikali itaamua kuwashughulia wote waliohusika kwa namna yoyote.

Kama serikali ingekuwa inamchukulia kila mtu hatua tangu mikataba hii iliposainiwa, basi ni dhahiri Mawaziri Wakuu wasataafu Frederick Sumaye na Edward Lowassa ambao nao ni wanachama wa CHADEMA, kwa namna moja au nyingine wangehusika kwani wao pia walikuwa wasimamizi wa shughuli za serikali.

Mbali na jambo hilo lakini Mbowe alikikosoa pia Chama cha Mapinduzi kuwa kiliingia mikataba mibovu iliyopelekea nchi kupata hasara ya mabilioni.Mbowe alisema kuwa tatizo kubwa katika sekta ya madini ni sheria, ambazo wapinzani wamekuwa wakipiga kelele kila mara kuwa zirekebishwe.

Aidha, Mbowe aliwataka wanachama wa chama hicho kusimama kisawasawa na asiwepo mtu mwenye uwoga waaina yoyote kwani wamedhamiria kushika dola mwaka 2020.

Mbona Mnawanyanyasa Hivi Lowassa na Sumaye?
DSC_01781.jpg
 
View attachment 516117

Tatizo lako Rafiki yangu uko too biased,siku ukisema ukweli ulio ndani ya kifua chako ndiyo siku utakayo kuwa huru.

Hakuna wakumsamahe hapo,wote hata kama ni JPM amekula pesa ya TAIFA naye ashtakiwe tu hakuna namna lazima tuwewamoja tuache blahblah wanaotugawa ndiyo wanaomaliza raslimali zetu
 
Tunamzungumzia Mkwere aliyekuwa waziri wa madini na kisha Rais na babu lao Mkapa waliokuwa fainal authority kama alivyo Magu sasa
Ndio maana mmekaa kumpigia vuvuzela Magu na sio Samia wala Majaliwa
Kama uwajibikaji wa jumla basi Mtukufu alikuwa baraza la mawaziri tangu mwanzo
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameitaka serikali kuwachukulia hatua viongozi mbalimbali waliohusika katika kuliingizia serikali hasara ya mabilioni kutoka kwenye sekta ya madini.

Freeman Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro alitoa kauli hiyo katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA mjini Dodoma alipokuwa akizungumzia sakata la mchanga wa madini ambalo limepamba moto kwa sasa nchini.

“Tunafukuza watu kwa makosa yaliyofanywa miaka 15 iliyopita, lakini wale waliofanya makosa wapo uraiani, wapo huru” alinukuliwa Mbowe akizungumza.

Kwa kauli hii ya Kiongozi Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni ni kuwa, baadhi ya waliokuwa viongozi wakuu wa shughuli za serikali wakati mikataba hii ikisainiwa na kazi hizi za usafirishaji wa mchanga ambaoni wananchama wa chama hicho, nao watachukuliwa hatuaendapo serikali itaamua kuwashughulia wote waliohusika kwa namna yoyote.

Kama serikali ingekuwa inamchukulia kila mtu hatua tangu mikataba hii iliposainiwa, basi ni dhahiri Mawaziri Wakuu wasataafu Frederick Sumaye na Edward Lowassa ambao nao ni wanachama wa CHADEMA, kwa namna moja au nyingine wangehusika kwani wao pia walikuwa wasimamizi wa shughuli za serikali.

Mbali na jambo hilo lakini Mbowe alikikosoa pia Chama cha Mapinduzi kuwa kiliingia mikataba mibovu iliyopelekea nchi kupata hasara ya mabilioni.Mbowe alisema kuwa tatizo kubwa katika sekta ya madini ni sheria, ambazo wapinzani wamekuwa wakipiga kelele kila mara kuwa zirekebishwe.

Aidha, Mbowe aliwataka wanachama wa chama hicho kusimama kisawasawa na asiwepo mtu mwenye uwoga waaina yoyote kwani wamedhamiria kushika dola mwaka 2020.

Mbona Mnawanyanyasa Hivi Lowassa na Sumaye?
View attachment 516117

Ndiyo hatua zichukuliwe kwa Lowasa, Sumaye, Mkapa na Kikwete.
 
pigia msitari
Hujaulizwa wewe unadandia kwa mbele!Mleta mada amemnukuu Mbowe akisema viongozi wastaafu,ndio namuuliza yeye kama amekosea kuandika au ni mahaba ya rangi ya kijani
 
Back
Top Bottom